mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
Watanzania wengi hawana utamaduni wa kutunza pesa, Wazungu wanaita saving, imefika wakati Yani mtu akisimama kazi ndani ya wiki mbili anaanza kuomba msaada wakati amefanya kazi kwa muda mrefu sana.
Ni vema kila unapopata mshahara basi angalau asilimia 30 kafiche mahali, watumishi wa umma Wana huu ugonjwa wa kutofanya savings, Ila angalau wafanyabiashara wanajitahidi.
Sasa nimechunguza Maofisi mengi ya serikali account zinazomilikiwa Na wanawake Zina fedha nyingi kuliko zile za wanaume ndani ya ofisi moja. Imefika mpaka mahali secretary ana mpunga mwingi bank kuliko Meneja, Hawa kinamama cjui wanatumia uchawi.
Watanzania hasa waajiriwa tujijengee utamaduni wa kutunza pesa, sio mshahara ukitoka unakula wote