Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hela yote hiyo akaenda kutengeneze shape kabisaaa?Kiufupi wanawake huwa wanahela nyingi sana. Hata kwenye uwakala wa simu. Miamala ya pesa nyingi ni ya wanawake. Ila mpaka leo sijui wanawake pesa zao zinaenda wapi?
Dada mmoja nilimuuliza anasema pesa zinaishia kwenye nguo kali, simu kali, sherehe, mapochi, saluni, viatu, madawa ya kuongeza shepu na vipodozi
Kuna dada mmoja ametunza hela toka mwaka juzi mwaka huu kaenda uturuki kufanya upasuaji wa shepu kama dola 8000 hicilHDsjsjdhdjwalvi zake. Naona hizo ndio ndoto zake zimetimia