Nimegundua akaunti za wadada ndio zina fedha nyingi hapa ofisini

Kamwe usishindane na nguvu ya kike, huo ndio ushauri wangu kwa vijana.
 
umenikumbusha wimbo wa Alphonsus Cassell (Arrow) unaitwa "bills"
 
Hela yote hiyo akaenda kutengeneze shape kabisaaa?
Kweli tunatifautiana.
Na shepu yangu hii ya kabati sijafanya huo upuuzi bado.
Niache kufanya uwekezaji nikatengeneze shapu kweli na Mungu anilaani nikifanya hivyo.
Watu hawaangalii maisha ya baadae.
Bado hapo ukute shape lenyewe katengenezea huko uchochoroni wala sio kwa professional halafu baadae aanze kulia lia linamletea matatizo na kumchangia tumchangie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…