Nimegundua Bashe hajui maana ya Food Security

Nimegundua Bashe hajui maana ya Food Security

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Naamini anajua kiiengeleza sasa namuwekea hapa maana yake.

Food security is the measure of the availability of food and individuals' ability to access it. According to the United Nations' Committee on World Food Security, food security is defined as meaning that all people, at all times, have physical, social, and economic access to sufficient, safe, and nutritious food that meets their food preferences and dietary needs for an active and healthy life.

Akishamaliza kusoma hapo, namwagiza (mimi ninae lipa kodi ili alipwe) apitie upya hari ya upatikanani wa chakula nchini, ili ikiwezekana aagize baadhi ya mazao yasiuzwe nje.

Vyakula vimepeta bei sana huku mtaani, ila kwa vile yeye waziri analishwa hawezi ona hii shida.

Tusipo rekebisha hii hari, hadi December tutaanza kununua unga na mchele kutoka kenya, tena kwa bei ya juu zaid.

Tozo zinateketeza biashara ndogongodo (chechemshi).
 
wakulima wanaponunua mbolea shilingi 170,000 kwa mfuko wa kg 50 mbona hukujitokeza kulisemea. Acha wakulima wafaidi jasho lao kwa kuuza mazao yao mahali popote kwa bei wanayoitaka.
Tushalisemea sana hili hadi wapetoa rudhuku. Lakini tuliambia huko dunianiiii bei ni shida.
 
wakulima wanaponunua mbolea shilingi 170,000 kwa mfuko wa kg 50 mbona hukujitokeza kulisemea. Acha wakulima wafaidi jasho lao kwa kuuza mazao yao mahali popote kwa bei wanayoitaka.
Kama kuna kenge ni pamoja na watu kama hii kenge hapa.

Wanaosafirisha mazao nje ni wa wachuuzi na si wakulima.Wakulima wanauza kwa bei ya kunyonywa sana.Ila kwa vile ni kenge haitanielewa
 
Kama kuna kenge ni pamoja na watu kama hii kenge hapa.

Wanaosafirisha mazao nje ni wa wachuuzi na si wakulima.Wakulima wanauza kwa bei ya kunyonywa sana.Ila kwa vile ni kenge haitanielewa
Kwa hiyo unakusudia kwamba wachuuzi wanayapata hewani? Au wananunua Kwa wakulima?

Ishauri serikali inunue mshindi ya kutosha na kuyahifadhi lakini ushauri wa kufunga mipaka ni ushauri wa kikandamizaji sana kwa wakulima.

Wakulima wanatumia gharama kubwa sana kuzalusha ukiwazuia wasiuze nje ni sawa na kuwalazimisha kuingia hasara.

Kwa taarifa yako kama kuna kitu kilisababisha chuki kubwa kati ya wakulima wa nyanda za juu kusini na serikali ya Magufuli ni hiki unachopendekeza wewe. Huu ni uuaji wa sekta ya kilimo.

Kama serikali ikiweka hili zuio itakuwa inashawishi wakulima kuachana na kilimo na kufanya kazi za uchuuzi na kukuza taitizo la ukosefu wa ajira.
 
Mkuli.ma hawezi kutolewa kafala ili wengine wzpate chakula kwa bei nafuu. Wakati mkulima huyo huyo akiuziwa mbolea bei juu hakukuwa na makelele ya kumtetea.

Mvua ilipokata wakati kisha ingia gharama za kulima, kupanda na kupalilia watu wzlikaa kimya, basi endeleeni kukaa kimya wakati mkulima anarudisha gharama zake.
 
Mkuli.ma hawezi kutolewa kafala ili wengine wzpate chakula kwa bei nafuu. Wakati mkulima huyo huyo akiuziwa mbolea bei juu hakukuwa na makelele ya kumtetea. Mvua ilipokata wakati kisha ingia gharama za kulima, kupanda na kupalilia watu wzlikaa kimya, basi endeleeni kukaa kimya wakati mkulima anarudisha gharama zake.
Hii ni Siasa.

Nenda kwenye point ya food security.

Utaielewa kwa Nini mkulima Leo anauza mazao kwa Bei ya chini harafu badae mkulima huyohuyo anaanza kununua Tena kwa Bei ya Juu.
 
Hussein Mohamed Bashe is my model president! Come what may! He might not understand many things but hey! I can read the passion of addressing the challenges of Tz farmers! Goo Bashe Goo!

Yale PHDada yenye midomo kama makarai (madelu) ndiyo unayoyataka! Those arrogant crooks!!?
Give us a break Bashe is our future!
 
Bashe ni mweupe tu kichwani
Sina nia ya kumtetea Bashe lakini ngoja Kwa ufupi nikuwekee hapa mchanganuo wa gharama za kuzalisha mahindi japo sio rasmi lakini japo ikupe picha.

Kukodi shamba heka shs 50000
Kulima shamba heka shs 60000
Mbolea ya kupandia shs 170000,×2
Mbolea ya kukuzia shs 150000×3
Palizi ya 1&2. Shs 100000
Kuvuna & kupaki shs 70000

Huu ni mchanganuo usio rasmi wa mkulima wa kitanzania na hapo ujumlishe na muda wa miezi sita baada ya gharama hizo wakulima wetu walio wengi hupata kati ya gunia 12 - 15 kwa heka.

Kwa huo mlinganyo niliouweka hapo maana yake kama atauza Kwa bei ya sasa ambapo anauza gunia shs 50000 atapata shs kati ya 600000 hadi 750000.

Ukichukua kiasi Cha pale juu ukatoa Kwa mauzo utaona hakuna serikali iliyo serious na watu wake itawazuia kuuza mazao Kwa bei nzuri.

Na hapo sijakuwekea risk factors za ukame mafuriko wadudu waharibifu udhaifu wa ardhi nk
 
Back
Top Bottom