Nimegundua Elon Musk na wengine walio kwenye world richest people ranks sio matajiri

Yopinto

Member
Joined
Jul 27, 2021
Posts
61
Reaction score
62
Utashanga kwa nini nakwambia haya ila tambua ni kweli na wazi kabisa

Huu ni uzi mfupi tu.

Je unajua nchi zote duniani zinadaiwa?, kama ndio ni nani anaewadai. Nilipokaa nakujiuliza hili swali nilicheka sana na hivyo niliamua kufatilia.

Je unajua kuwa Kuna Familia ambazo zinamiliki Pesa zote duniani. Hebu fikiri ni nani mmiliki wa central Bank of world, utasema ni kila nchi Ina share Aaah we!

Hivi unajua Elon Musk na wakina Bill Gates wanajitafuta sana, hutaamini ila amin kwamba

Okay Acha nikupe watu wawili tu ambao hata Elon Musk mwenyewe bado anajitafuta.

Unamjua au unaijua Familia ya Rothschild Hawa Wanadai kila bank duniani, kwani utajiri wa Familia unamilikiwaje, au kutakuwa na msimamizi. Hawa ni matajiri ambao hata pesa ya kina Musk inaingia kwake.

Mtu wa pili nitawaeleza badae nikiona reaction zenu 🙄
 
Nijuavyo mimi, tunapotafuta watu matajiri duniani huwa kuna vigezo vinatumika kama vile;
a) Asiwe mfalme/malkia/kiongozi wa nchi maana watu hao hawatafuti bali wanajimilikisha vitu bila kupingwa.

b)Asiwe mrithi

c) Asimame pekee yake na siyo kifamilia au kiukoo n.k

Sasa ukiondoa vigezo hivyo hapo juu, watu matajiri zaidi duniani siyo akina Elon, Bill et al bali ni zile familia 12 zinazotawala dunia pamoja na viongozi wa kisiasa wa nchi za kifalme na kikomunisti.

Niko tayari kusahihishwa.
 
Utashanga kwa nini nakwambia haya ila tambua ni kweli na wazi kabisa
Huu ni uzi mfupi tu.
Je unajua nchi zote duniani zinadaiwa?, kama ndio ni nani anaewadai. Nilipokaa nakujiuliza hili swali nilicheka sana na hivyo niliamua kufatilia.
Je unajua kuwa Kuna Familia ambazo zinamiliki Pesa zote duniani. Hebu fikiri ni nani mmiliki wa central Bank of world, utasema ni kila nchi Ina share ..Aaah we!
Ivi unajua Elon Musk na wakina Bill Gates wanajitafuta sana, hutaamini ila amin kwamba
Okay Acha nikupe watu wawili tu ambao hata Elon Musk mwenyewe bado anajitafuta

Mkuu, bado upo Menelomango? Au ulisharudi Samvulachole? Kuna dili limeletwa, kuna mshua ametaka tumbebee viroba vyake vya mihogo hadi stand. Kama upo uje kijiweni na ule mkokoteni wako basi, maana toyo au kirikuu haviwezi kupita kule, mchanha mwiingi njia ndogo
 
Unaongelea familia wakati wao wanamzungumzia mtu binafsi.
 
Mkuu, bado upo Menelomango? Au ulisharudi Samvulachole? Kuna dili limeletwa, kuna mshua ametaka tumbebee viroba vyake vya mihogo hadi stand. Kama upo uje kijiweni na ule mkokoteni wako basi, maana toyo au kirikuu haviwezi kupita kule, mchanha mwiingi njia ndogo
Mkuu😃😃
 
Nijuavyo mimi, tunapotafuta watu matajiri duniani huwa kuna vigezo vinatumika kama vile;
a) Asiwe mfalme/malkia/kiongozi wa nchi maana watu hao hawatafuti bali wanajimilikisha vitu bila kupingwa.

b)Asiwe mrithi

c) Asimame pekee yake na siyo kifamilia au kiukoo n.k

Sasa ukiondoa vigezo hivyo hapo juu, watu matajiri zaidi duniani siyo akina Elon, Bill et al bali ni zile familia 12 zinazotawala dunia pamoja na viongozi wa kisiasa wa nchi za kifalme na kikomunisti.

Niko tayari kusahihishwa.
Umeongea point nilikuwa nafungua watu tuu
 
Hapo kwenye kumiliki pesa zote duniani ndipo penye utata, vinginevyo uelezee vizuri.

Mimi naamini hata hizo familia unazozisema na zenyewe zina madeni na wanaozidai na wenyewe wanadaiwa pia

Mawazo yangu.
 
Na yule Dogo Anayemiliki Dabilyusibii midia ana ndoto za kuwa Tajiri namba moja duniani una la kumshauri?
Alipakwa mafuta na Diddy juu kwenye chumba private cha Diddy huku wakiangalia tv. Nasikia Diddy alianza kumpaka mafuta mbunge wa bunge la JMT kama appetizer kabla hajampaka bosi wa dabliyusibi.
 
Uwepo wa Rothschild hauondoi ukweli wa kwamba Elon Musk ni tajiri.
 
Kinachoniumiza comment zetu nyingi tunachqngia watu wasio na Hela
 
Back
Top Bottom