Nimegundua Elon Musk na wengine walio kwenye world richest people ranks sio matajiri

Utashanga kwa nini nakwambia haya ila tambua ni kweli na wazi kabisa

Huu ni uzi mfupi tu.

Je unajua nchi zote duniani zinadaiwa?, kama ndio ni nani anaewadai. Nilipokaa nakujiuliza hili swali nilicheka sana na hivyo niliamua kufatilia.

Je unajua kuwa Kuna Familia ambazo zinamiliki Pesa zote duniani. Hebu fikiri ni nani mmiliki wa central Bank of world, utasema ni kila nchi Ina share Aaah we!

Hivi unajua Elon Musk na wakina Bill Gates wanajitafuta sana, hutaamini ila amin kwamba

Okay Acha nikupe watu wawili tu ambao hata Elon Musk mwenyewe bado anajitafuta.

Unamjua au unaijua Familia ya Rothschild Hawa Wanadai kila bank duniani, kwani utajiri wa Familia unamilikiwaje, au kutakuwa na msimamizi. Hawa ni matajiri ambao hata pesa ya kina Musk inaingia kwake.

Mtu wa pili nitawaeleza badae nikiona reaction zenu 🙄
Utajiri wa familia unaingiliana vip na wa mtu binafs mkuu
 
Hapo kwenye kumiliki pesa zote duniani ndipo penye utata, vinginevyo uelezee vizuri.

Mimi naamini hata hizo familia unazozisema na zenyewe zina madeni na wanaozidai na wenyewe wanadaiwa pia

Mawazo yangu.
Wao hawadaiwi
 
mara kumi repoa huwa na tafiti zenye substance ndani yake kuliko hii yako.
 
Utashanga kwa nini nakwambia haya ila tambua ni kweli na wazi kabisa

Huu ni uzi mfupi tu.

Je unajua nchi zote duniani zinadaiwa?, kama ndio ni nani anaewadai. Nilipokaa nakujiuliza hili swali nilicheka sana na hivyo niliamua kufatilia.

Je unajua kuwa Kuna Familia ambazo zinamiliki Pesa zote duniani. Hebu fikiri ni nani mmiliki wa central Bank of world, utasema ni kila nchi Ina share Aaah we!

Hivi unajua Elon Musk na wakina Bill Gates wanajitafuta sana, hutaamini ila amin kwamba

Okay Acha nikupe watu wawili tu ambao hata Elon Musk mwenyewe bado anajitafuta.

Unamjua au unaijua Familia ya Rothschild Hawa Wanadai kila bank duniani, kwani utajiri wa Familia unamilikiwaje, au kutakuwa na msimamizi. Hawa ni matajiri ambao hata pesa ya kina Musk inaingia kwake.

Mtu wa pili nitawaeleza badae nikiona reaction zenu 🙄
SIJUI KWANINI NIMESOMA HUU UPUMBAVU.
 
Hao kina Rothschild , Rockefeller,Openheimer,Li family nk washavuka viwango vya kua personal Rich kutokana na founders wao kama kina John Loca kutafuta Mali toka zama za industrial revolution
Hao sasa washakua Wealth family na Sio mtu binafsi tena,
Kwa saizi bado kina Musk na Bill nk wataendelea kupewa maua yao mpaka utajiri wao uhame kutoka kua Rich mpaka Wealth!
 
Hapa umeongea point mkuu
 
Back
Top Bottom