Nimegundua Elon Musk na wengine walio kwenye world richest people ranks sio matajiri

Utajiri wa familia unaingiliana vip na wa mtu binafs mkuu
 
Hapo kwenye kumiliki pesa zote duniani ndipo penye utata, vinginevyo uelezee vizuri.

Mimi naamini hata hizo familia unazozisema na zenyewe zina madeni na wanaozidai na wenyewe wanadaiwa pia

Mawazo yangu.
Wao hawadaiwi
 
mara kumi repoa huwa na tafiti zenye substance ndani yake kuliko hii yako.
 
SIJUI KWANINI NIMESOMA HUU UPUMBAVU.
 
Hao kina Rothschild , Rockefeller,Openheimer,Li family nk washavuka viwango vya kua personal Rich kutokana na founders wao kama kina John Loca kutafuta Mali toka zama za industrial revolution
Hao sasa washakua Wealth family na Sio mtu binafsi tena,
Kwa saizi bado kina Musk na Bill nk wataendelea kupewa maua yao mpaka utajiri wao uhame kutoka kua Rich mpaka Wealth!
 
Hapa umeongea point mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…