Aliyekwambia hayo ni matokeo halisi kamuulize tenaMfano, kura halali pekee;
ccm wakapata 51%
chadema wakapata 32%
ACT wazalendo wakapata 5%
CUF wakapata 3%
Nccr-Mageuzi wakapata 2%
vyama vingine vyote vilivyobaki wakapata 7%
nilihisi wakiungana wataishinda ccm kirahisi kumbe lah... Labda miaka mingi ijayo.....
Uchaguzi upi huo??😂😂😂Mfano, kura halali pekee;
ccm wakapata 51%
chadema wakapata 32%
ACT wazalendo wakapata 5%
CUF wakapata 3%
Nccr-Mageuzi wakapata 2%
vyama vingine vyote vilivyobaki wakapata 7%
nilihisi wakiungana wataishinda ccm kirahisi kumbe lah... Labda miaka mingi ijayo.....
Uwezekano wa CCM kupata kura 50%+ kihalali nchi hii ulishaondoka na kizazi cha wazee. Unapoona wanapora na kunajisi chaguzi sio bahati mbaya, bali matokeo ya halali hayawabebi.Mfano, kura halali pekee;
ccm wakapata 51%
chadema wakapata 32%
ACT wazalendo wakapata 5%
CUF wakapata 3%
Nccr-Mageuzi wakapata 2%
vyama vingine vyote vilivyobaki wakapata 7%
nilihisi wakiungana wataishinda ccm kirahisi kumbe lah... Labda miaka mingi ijayo.....
huu ni ukweli mchungu, lakini ndio ukweli, tumeisha washauri kwa uchaguzi wa 2025 upinzani u focus kwenye serikali za mitaa, udiwani na ubunge, kwenye urais 2025 ni CCM, kwenye urais upinzani ujipange kwa 2030!. Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!Mfano, kura halali pekee;
ccm wakapata 51%
chadema wakapata 32%
ACT wazalendo wakapata 5%
CUF wakapata 3%
Nccr-Mageuzi wakapata 2%
vyama vingine vyote vilivyobaki wakapata 7%
nilihisi wakiungana wataishinda ccm kirahisi kumbe lah... Labda miaka mingi ijayo.....
Jecha ashakufa.Kwann umewaza mfano CCM wanapata 51% na si chadema wanapata 53%
Yaani ni kigezo gani umetumia kuwaza hivyo?
Anyways, we cha kuwaza Ni kuwa na uchaguzi huru tu mkuu, we waza uchaguzi uwe huru alafu polizei watulie wasitumike alafu kina jecha wamuogope Mungu, hivyo tu yaani
Huwa nashangaa sana eti hili bumunda Paschal nalo eti limesoma Ilboru shule ya vipaji labda kama alitumia jina la mtu.huu ni ukweli mchungu, lakini ndio ukweli, tumeisha washauri kwa uchaguzi wa 2025 upinzani u focus kwenye serikali za mitaa, udiwani na ubunge, kwenye urais 2025 ni CCM, kwenye urais upinzani ujipange kwa 2030!. Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
P
Kumbe unazungumza mfano, baki na mfano siku zenu zajaMfano, kura halali pekee;
CCM wakapata 51%
CHADEMA wakapata 32%
ACT wazalendo wakapata 5%
CUF wakapata 3%
NCCR-Mageuzi wakapata 2%
vyama vingine vyote vilivyobaki wakapata 7%
Nilihisi wakiungana wataishinda CCM kirahisi kumbe lah... Labda miaka mingi ijayo.....
Tanzania hakuna uchaguzi boss, bali kuna maonesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.huu ni ukweli mchungu, lakini ndio ukweli, tumeisha washauri kwa uchaguzi wa 2025 upinzani u focus kwenye serikali za mitaa, udiwani na ubunge, kwenye urais 2025 ni CCM, kwenye urais upinzani ujipange kwa 2030!. Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
P
Sasa mbona mnaogopa katiba mpya itokanayo na wananchi na tume huru ya uchaguzi?Mfano, kura halali pekee;