Nimegundua haya

ivi kwani watu walio okoka hawafi.? alafu wew umewahi kuishi kiroho.? sema mtupanga mtupige visadaka tu hakuna lolote
mwanadamu ni roho, hiyo ndiyo itakayohukumiwa, mwili huu ni mavumbi tu, hivyo hata mwili huu ukifa roho huwa haifi, huwa inaenda mahali pale unapostahili,kama ulimpa Yesu Maisha utaenda mbinguni kama haukumpa Yesu maisha ni motoni. Nakushuhudia hii leo kwamba, mimi sio mchungaji, wala nabii wala yeyote, ni mtu wa kawaida kabisa, ila Mungu amenifanya niyasema yale ambayo yatawafanya wengi wapone, ni sauti ya Mungu, anaweza kutumia yeyote hata mtu asiyefaa kama mimi, mtu aliyehurumiwa kama mimi, mtu aliyekuwa mwenye dhambi, aliyekuwa mzinzi, aliyekuwa zurumati aliyekuwa wa ajabu ajabu kama mimi, ananitumia kuwaletea hii habari njema.

ya kwamba Yesu Kristo alikufa akalipa garama ya dhambi na ukombozi kwa ujumla kwa mwanadamu, akaweka hiari mbele yetu, ukitaka kupona mwamini na kabidhi maisha kwa Yesu aliyelipa deni la dhambi sasa, na kama hautaki, ni hari yako, baki katika dhambi ila kuna siku atakuwa kuihukumu hii dunia, watu wataungua moto.

wale waliopotosha wengi wataungua moto pia, manabii wa uongo mliosababisha hadi watu hawaokoki kwa sababu ya utapeli wenu, mtakunywa kikombe cha haki sawasawa na yale mliyoyatenda. pia hata ninyi mnaolisikia sauti ya wokovu na mnakuwa na mioyo migumu, hamtakuwa na la kujitetea kwasababu mlishasikia mkakataa kwa kisingizio ati wapo manabii wa uongo duniani. sasa manabii wa uongo hata Yesu alisema watakuwepo, kwahiyo unataka ukaungue moto pamoja nao au wewe unataka uokoke binafsi? mimi sihitaji sadaka, huwa sipokei sadaka, sina kanisa sina chochote, ila ujumbe huu nashukuru kwamba umekufikia na nimenawa mikono. unamhitaji Mungu zaidi ya vile unavyoelewa, usisubiri upate shida ndio umrudie, sasahivi wakati amekujalia uzima mrudie yeye, muda ungalipo,nafasi ingalipo. ukiona mtumishi yeyote amefanya dhambi, usimfuate yeye fuata Neno la Mungu kwasababu kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe, wewe utabeba wa kwako, na manabii wa kwao, ila Neno la Mungu linakutaka uokoke, mpe Yesu Maisha ili upone hukumu ya milele. Mungu akusaidie.
 
Jibu simple kwenye andiko lake kasema sio Kila mwili una roho ya Binadamu wengine ni Alliens na Draconian

Hivyo basi hiyo population duniani inajazwa pia na hao
 
Jibu simple kwenye andiko lake kasema sio Kila mwili una roho ya Binadamu wengine ni Alliens na Draconian

Hivyo basi hiyo population duniani inajazwa pia na hao
Hao Aliens na Draconian walianza jana au since day one ?

Kama walianza since day one basi set kuanzia mwanzo ilikuwa na constant number sababu wanaobadilika na wanaochukua vehicles ni walewale kama kuanzia siku ya kwanza mpo ishirini kila mmoja anahitaji suti moja moja hata kama mmoja yupo Dar mwingine Mwanza na wengine Ulaya na kabati la suti lipo Bukoba haimaanishi hizo suti zitakuwa zinaongezeka sababu wavaaji hawaongezeki ni wanabadilishana tu suti au kukaa uchi (at maximum suti zitaendelea kuwa 20)
 
Kwenye technology nakubaliana nae, hivi unajua mpaka sasa hakuna mashine inayoweza kutoboa au kuchonga jiwe Kwa ufanisi!
Namba 3,na namba 13 zimenijulisha kuwa wewe ni mgonjwa wa akili kabisa,Shigongo alikuwa sahihi aliposema Bungeni kuwa Watanzania wengi wanaumwa ugonjwa wa akili kwa sababu ya maisha magumu
 
Mkuu,
Hizi narratives bila rejea yoyote inakuwa kama riwaya ya kufikirika.
Au haya ni mafundisho ya dini fulani?!
 
Nonsense
 
😂😂😂😂😂
Yàaan mada nzuri sana mkuu.
Ila ulipoanza kuandika mambo ya ruwenzoli tuu mara kitovu daah
 
umegunduaje mkuu
acha ujinga mkuu 😆 😆 😆
 
Ilikuaje ukabaki na kumbukumbu zako ulipofariki ukazaliwa tena mpaka unayajua haya?
Au na huko huwa kuna itilafu kama tulivyo na mgao wa umeme kwamba wakati wa kufuta kumbukumbu zako mashine kiwandani ilifeli?
 
Unazingua. Big time . Hii elimu umeitoa wapi?
 
Kwenye point yako ya 15 ni nan aliyetufumba uo ufahamu
 
AI yenyewe inasema binadam ni scams
Hii inaitwa cyclic redundancy error
Unatengeneza sanamu ambayo unaitaka ikuelezee wewe ni nani!
Natural law inayofanya kazi hapa ni kwamba the creature cannot create the creator
 
Kwenye kilugha chetu kuna msemo huwa una maanisha maneno haya kwa Kiswahli kwamba
........"chochote kile ambacho kinaweza kuja kwako kwa kasi huku kikiwa kimeachama mdomo wazi, usijiweke kwenye njia yake bali unatakiwa ukikwepe na kukiacha kiendelee mbele ili kikaumane ma miti"

View: https://www.youtube.com/watch?v=jcDrtRPjcwo&pp=ygUYWWVzdSBhbmFydWRpIE1jaCBNYWdlbWJl
 
Moto ulao
 
kumbukumb za kwamba uliwah kuishi wapi kabla ya hapa duniani au me ndo cielew?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…