Nimegundua haya

Nimegundua haya

Umeandika facts na Fallacies humohumo
nimesummarize vitabu 30 na uelewa wangu kwa point hizo ,ukisema uandike hakuna mtu wa kusoma na kama wapo ni wachache

Ushawahi kuona kitu chochote suspicious angani kwa ufahamu wako ukaona kuna something weird about it labda taswira,chombo,kiumbe,mwanga and so
 
Wapo watu wanajua mkuu ,ila inabaki kama personal experience tu wala hawezi andika kwa sababu itakua kama mahubiri tu .
Kwa sababu still wanajua maswali ni mengi kwa uwongo wao huo.

Hakuna mtu nje ya aliyekufa anayeweza kuyaelezea mazingira ya baada ya pumzi ya mwisho siyo mgonjwa siyo mzima siyo msomi siyo asiyesoma hata mganga wa kienyeji na tunguli zake hawezi tunapotezeana muda tu.
 
Mtu anakufa mimi nabaki how?

Nani ktk ukoo wako tukianza na kizazi chako cha tano kurudi nyuma amerudi kukupa taarifa kwamba yeye ni fulani mtu wake alikufa 1690 na leo 2024 yupo ulimwenguni hapa?
Mkuu nimesema ukifa una kuwa wiped memory na unakuja kuanza moja katika mwili mwingine na huwa huwa unakuwa na trait zilezile mfano kama doctor unapenda tena uwe doctor automatically bila kujua kumbe ulishapitiaga hayo over and over
 
So unaamini kwenye reincarnation...; if that was the case basi population ingekuwa constant haiongezeki since begging of time...

Ukweli ni kwamba nature works in an ecosystem wewe ni chakula cha viumbe vingine una-support life form ya viumbe wengine kuondoka kwako wewe as a specie huenda kusiwe na overall effect ya viumbe wengine sababu vinaweza vika-adapt accordingly... By the way binadamu ni Kirusi mbaya sana anayeharibu mazingira na maisha ya viumbe wengine nadhani akiondoka na kuwa extinct viumbe wengine will be better of...
AI yenyewe inasema binadam ni scams
 
Mkuu nimesema ukifa una kuwa wiped memory na unakuja kuanza moja katika mwili mwingine na huwa huwa unakuwa na trait zilezile mfano kama doctor unapenda tena uwe doctor automatically bila kujua kumbe ulishapitiaga hayo over and over
Bro,wwe lini umekufa ukayajua hayo?sawa umesema hata mimi naweza kusema lakini nani na lini amekufa akarudi kueleza hayo?

Mimi nina baba yangu mzazi kaburini 38yrz now zaidi ya kuota ndoto nazohisi ni yeye sijawahi kupata kwake chochote nje ya uhai wangu leo useme hapa unayajua hayo ukiwa na pumzi yako hii hii nayovuta mimi nikuelewe?hata wewe ungenielewa?
 
Kwa sababu still wanajua maswali ni mengi kwa uwongo wao huo.

Hakuna mtu nje ya aliyekufa anayeweza kuyaelezea mazingira ya baada ya pumzi ya mwisho siyo mgonjwa siyo mzima siyo msomi siyo asiyesoma hata mganga wa kienyeji na tunguli zake hawezi tunapotezeana muda tu.
Hakuna ukweli mmoja kila mtu ana experience yake wala hakuna swali lisilo na majibu inategemea na umeweka vipi mipaka yako ,kila kitu ni possible sema tu ni wewe umejilimit kwenye ufahamu mmoja , ndio maana umeona hakuna majibu .
 
haya maarifa yanapatikana wapi mkuu ? Vitabu if? Weka hapa wanajamii tufaidike
Unataka maarifa yanayopaswa kuelezwa na maiti?yaani mambo inabidi aje leo hapa babu wa babu yako aliyekufa 50s huko akueleze unategemea uelezwe na mtu mpo hapa mna-share pumzi moja?

Dude,you must be kidding!
 
Bro,wwe lini umekufa ukayajua hayo?sawa umesema hata mimi naweza kusema lakini nani na lini amekufa akarudi kueleza hayo?

Mimi nina baba yangu mzazi kaburini 38yrz now zaidi ya kuota ndoto nazohisi ni yeye sijawahi kupata kwake chochote nje ya uhai wangu leo useme hapa unayajua hayo ukiwa na pumzi yako hii hii nayovuta mimi nikuelewe?hata wewe ungenielewa?
Hujawahi kufanya kitu ukaona kama ulishawahi kufanya hilo tukio na linajirudia
 
Hakuna ukweli mmoja kila mtu ana experience yake wala hakuna swali lisilo na majibu inategemea na umeweka vipi mipaka yako ,kila kitu ni possible sema tu ni wewe umejilimit kwenye ufahamu mmoja , ndio maana umeona hakuna majibu .
Siyo kila swali lina jibu na siyo kila swali binadamu anaweza kulijibu.

Simple tu,maswali yatokanayo na nini hutokea baada ya kifo anayepaswa ayajibu ni maiti tu hizi nyingine ni ngonjera tuache kudanganyana.
 
😄😄 unaelewa maana ya personal experience au umezoea kuhubiriwa tu yesu alifufuka siku ya tatu?😁
 
So unaamini kwenye reincarnation...; if that was the case basi population ingekuwa constant haiongezeki since beginning of time...

Ukweli ni kwamba nature works in an ecosystem wewe ni chakula cha viumbe vingine una-support life form ya viumbe wengine kuondoka kwako wewe as a specie huenda kusiwe na overall effect ya viumbe wengine sababu vinaweza vika-adapt accordingly... By the way binadamu ni Kirusi mbaya sana anayeharibu mazingira na maisha ya viumbe wengine nadhani akiondoka na kuwa extinct viumbe wengine will be better of...
Time haiko linear kili kitu kilichowahi kutokea au kitakachotokea kinatokea saivi. Kwaiyo dunia saiz ina watu billion 8 ila wakati huohuo nimwaka 1800 na kuna watu millioni 1p00 ukiwa reincarnated unatokea sehemu yoyote kat8 ya hizo moda
 
Back
Top Bottom