Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
🤣 🤣 🤣Ameandika kwa ujasiri Kama vile aliwahi kufa akaelekea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣 🤣Ameandika kwa ujasiri Kama vile aliwahi kufa akaelekea
🤝👏👍Kwa sababu still wanajua maswali ni mengi kwa uwongo wao huo.
Hakuna mtu nje ya aliyekufa anayeweza kuyaelezea mazingira ya baada ya pumzi ya mwisho siyo mgonjwa siyo mzima siyo msomi siyo asiyesoma hata mganga wa kienyeji na tunguli zake hawezi tunapotezeana muda tu.
Mkuu unaulizwa ulisha wahi kufa ukarejeshewa kumbukumbu zako kwenye mwili mpya???Mkuu nimesema ukifa una kuwa wiped memory na unakuja kuanza moja katika mwili mwingine na huwa huwa unakuwa na trait zilezile mfano kama doctor unapenda tena uwe doctor automatically bila kujua kumbe ulishapitiaga hayo over and over
unahitaji msaada wa kisaikolojia mapema sana, akili yako inamhitaji Mungu pia. moto upo, na kama hautaokoka hapa duniani, utaenda kuungua. kuhusu binadamu, ni kweli mwanadamu ni roho wala sio mwili, huu mwili ni nguo tu tunavaa, ukifa roho inaenda aidha motoni au sehemu salama, mwili huku duniani unaoza.Habari wakuu
1. Binadamu hawafi, miili ndo hufika mwisho kuoperate
2. Sisi ni immortals/spiritual beings hatufii
3. Hakuna motoni wala mbinguni
4. Sio kila mwenye mwili wa mtu ni binadamu,wengine ni chitauli/aliens na wengine mijusi/reptilia
5. Tunaishi kwenye duara la maisha,tukitoka kwenye miili iliyokufa tunarudi tena kwenye miili inayozaliwa,tunafutwa kumbukumbu na roho kama sisi zenye ufahamu kubwa ambazo hazina upendo na hekima,kituo chao kimoja duniani kipo chini ya mlima ruwenzori
6. Kila mtu ni mchawi sema hajui kuutumia au kuuamsha na uwe mbaya au mzuri ni uamuzi wako
7. Vitabu vyote vya dini vimetokea mashariki ya kati ni vimeandikwa na wakufunzi wa shule za ajabu za misri/kemeti wenye kabila la levi/wayahudi wa zamani
8. Sisi tumetokea kwenye utupu mkuu kama roho ila miili tuliiumba kama majaribio ,kuna muda tuliiva tukashindwa kujitoa
9. Dunia ni jela ya roho za ulimwengu mwingine ambazo hukaa ndani ya miili maisha yao yote kutoka kwa maiti na kurudi kwa vichanga
10. Wazungu ni breed ya watoto wa chitauli na mwanamke wa kiafrika
11. DNA zote za wanawake duniani zina link africa
12. Tumechanganyiwa DNA ndo maana hatujui tumetoka wapi,kwanini tupo hapa na tunaelekea wapi
13. Tulikuwa na teknologia mara 1000 ya sasa,hatukuwa nyani wala hatukuumbwa na Mungu.
14. Mungu maana yake ''aliyeshuka toka angani'',ndio asili ya neno hilo wakimaanisha kiumbe wa ajabu mwenye uwezo wa kuua na kufufua,kuumba na kupoteza mf.chitauli,draco na wengine
15. Tunajua kila kitu ila tumefumbwa ufahamu,kila tunapotoka kwenye maiti tunafutwa kumbukumbu na kurudi tena japo bado duniani pia si kwetu.
16. Ukifa ukiona mwanga usielekee huko nenda upande wenye giza ndipo utajitoa kwenye hili gereza,ukifata mwanga utanasa kwenye neti za roho za kufuta memory na utarudi
Wewe je
Acha usanii bhanakasome kitabu cha children of the matrix kuna majibu yako
hivi kuna ushaidi gani kwamba binadamu ana roho na nafsi .? usikute ubongo nando nafsi na roho 🤔🤔Habari wakuu
1. Binadamu hawafi ,miili ndo hufika mwisho kuoperate
2. Sisi ni immortals/spiritual beings hatufii
3. Hakuna motoni wala mbinguni
4. Sio kila mwenye mwili wa mtu ni binadamu,wengine ni chitauli/aliens na wengine mijusi/reptilia
5. Tunaishi kwenye duara la maisha,tukitoka kwenye miili iliyokufa tunarudi tena kwenye miili inayozaliwa,tunafutwa kumbukumbu na roho kama sisi zenye ufahamu kubwa ambazo hazina upendo na hekima,kituo chao kimoja duniani kipo chini ya mlima ruwenzori
6. Kila mtu ni mchawi sema hajui kuutumia au kuuamsha na uwe mbaya au mzuri ni uamuzi wako
7. Vitabu vyote vya dini vimetokea mashariki ya kati ni vimeandikwa na wakufunzi wa shule za ajabu za misri/kemeti wenye kabila la levi/wayahudi wa zamani
8. Sisi tumetokea kwenye utupu mkuu kama roho ila miili tuliiumba kama majaribio ,kuna muda tuliiva tukashindwa kujitoa
9. Dunia ni jela ya roho za ulimwengu mwingine ambazo hukaa ndani ya miili maisha yao yote kutoka kwa maiti na kurudi kwa vichanga
10. Wazungu ni breed ya watoto wa chitauli na mwanamke wa kiafrika
11. DNA zote za wanawake duniani zina link africa
12. Tumechanganyiwa DNA ndo maana hatujui tumetoka wapi,kwanini tupo hapa na tunaelekea wapi
13. Tulikuwa na teknologia mara 1000 ya sasa,hatukuwa nyani wala hatukuumbwa na Mungu.
14. Mungu maana yake ''aliyeshuka toka angani'',ndio asili ya neno hilo wakimaanisha kiumbe wa ajabu mwenye uwezo wa kuua na kufufua,kuumba na kupoteza mf.chitauli,draco na wengine
15. Tunajua kila kitu ila tumefumbwa ufahamu,kila tunapotoka kwenye maiti tunafutwa kumbukumbu na kurudi tena japo bado duniani pia si kwetu.
16. Ukifa ukiona mwanga usielekee huko nenda upande wenye giza ndipo utajitoa kwenye hili gereza,ukifata mwanga utanasa kwenye neti za roho za kufuta memory na utarudi
Wewe je
hizi. nazo story zahovyo tu.! ivi Leo afufuke babu yangu anambie kuna moto. niache zambi kweli nitakataa na nisiamini.? nilipofikia now siamini kilakitu kwenye huu ulimwengu hadi nione nakusikia au kihisi kwa kutumia ngoziunahitaji msaada wa kisaikolojia mapema sana, akili yako inamhitaji Mungu pia. moto upo, na kama hautaokoka hapa duniani, utaenda kuungua. kuhusu binadamu, ni kweli mwanadamu ni roho wala sio mwili, huu mwili ni nguo tu tunavaa, ukifa roho inaenda aidha motoni au sehemu salama, mwili huku duniani unaoza.
Luka 20:34 - 36, Yesu akawaambia, wana wa ulimwengu huu huoa na kuolewa; lakini, wale wahesabiwao kuwa wamestahili kuupata ulimwengu ule, na kule kufufuka katika wafu, hawaoi wala hawaolewi; wala hawawezi kufa tena; kwasababu huwa sawasawa na malaika, nao ni wana wa Mungu, kwa vile walivyo wana wa ufufuo.
LUKA 16:19 - 31 YESU ALISEMA: "Palikuwa na mtu mmoja tajiri, ambaye alikuwa anavaa mavazi ya bei kubwa sana ya rangi ya zambarau na kitani safi, na kufanya sherehe kila siku. Na mlangoni pa huyo tajiri kulikuwa na maskini mmoja jina lake Lazaro, ambaye alikuwa amejaa vidonda. Lazaro alitamani kupewa makombo yaliyoanguka kutoka mezani pa huyo tajiri; na zaidi ya hayo, mbwa walikuwa wanakuja na kuramba vidonda vyale! Basi, huyo maskini akafa, nao malaika wakamchukua wakamweka karibuna Abrahamu. Na yule tajiri pia akafa, akazikwa. Huyo tajiri akiwa na mateso makali huko kuzimu, akainua macho yake, akamwona Abrahamu kwa mbali na Lazaro karibu naye. Basi akaita kwa sauti: Baba Ibrahimu, nionee huruma, umtume Lazaro angalau achovye ncha ya kidole chake katika maji, auburudishe ulimi wangu, maana ninateseka mno katika moto huu. Lakini Ibrahimu akamjibu; kumbuka mwanangu kwamba ulipoea mema yako katika maisha, naye Lazaro akapokea mabaya. Sasa lakini yeye anatulizwa, na we unateseka. Licha ya hayo, kati yetu na ninyi kumewekwa shimo kubwa, ili wanaotaka kuja kwenu kutoka huku wasiweze, na wanaotaka kutoka kwenu kuja kwetu wasiweze. Huyo aliyekuwa tajiri akasema; basi baba, nakuomba umtume aende nyumbani kwa baba yangu maana ninao ndugu watano, ili awaonye wasije wakaja huku kwenye mateso. Lakini Ibrahimu akamwambi; ndugu zako wanao Musa na manabii, waache wawasikilize hao. Lakini yeye akasema, sivyo baba Ibrahimu, ila kama mtu atafufuka kutoka kwa wafu na kuwaendea watatubu. Naye Ibrahimu akasema; kama hawatawasikiliza Musa na manabii, hawatajali hata kama mtu angefufuka kutoka kwa watu".
sio hayo tu hata yakwenye vitabu vya dini pia. ivi kwamfano ikitokea Nyerere kambalage afufuke Leo aseme jaman kuna moto kuna mbingu na kuna mungu.! ivi kunu watu wangekataa.?Unataka maarifa yanayopaswa kuelezwa na maiti?yaani mambo inabidi aje leo hapa babu wa babu yako aliyekufa 50s huko akueleze unategemea uelezwe na mtu mpo hapa mna-share pumzi moja?
Dude,you must be kidding!
umewahi kukutana na mtu wahivyo anaekumbuka maisha yake ya kabla hajafa nakuzaliwa upya.?Exactly wapo wengi sana mfano... kuna mtu anakuelezea visiwa vya china huko kama nadharia na hajawahi kufika na anakuwa accurate na details za sehemu husika pasipo kunakili au kuambiwa na mtu yeyote
Wengine wanajua vitu bila kufundishwa ni kuwa anakumbuka nyuma ila ni siri yake japo hajui ni kwanini anafanya hivyo vitu kwa urahisi
Hiyo.no.5 hasa kuhusu kituo Cha luwenzory naomba ufafa nuzi mkuuHabari wakuu
1. Binadamu hawafi ,miili ndo hufika mwisho kuoperate
2. Sisi ni immortals/spiritual beings hatufii
3. Hakuna motoni wala mbinguni
4. Sio kila mwenye mwili wa mtu ni binadamu,wengine ni chitauli/aliens na wengine mijusi/reptilia
5. Tunaishi kwenye duara la maisha,tukitoka kwenye miili iliyokufa tunarudi tena kwenye miili inayozaliwa,tunafutwa kumbukumbu na roho kama sisi zenye ufahamu kubwa ambazo hazina upendo na hekima,kituo chao kimoja duniani kipo chini ya mlima ruwenzori
6. Kila mtu ni mchawi sema hajui kuutumia au kuuamsha na uwe mbaya au mzuri ni uamuzi wako
7. Vitabu vyote vya dini vimetokea mashariki ya kati ni vimeandikwa na wakufunzi wa shule za ajabu za misri/kemeti wenye kabila la levi/wayahudi wa zamani
8. Sisi tumetokea kwenye utupu mkuu kama roho ila miili tuliiumba kama majaribio ,kuna muda tuliiva tukashindwa kujitoa
9. Dunia ni jela ya roho za ulimwengu mwingine ambazo hukaa ndani ya miili maisha yao yote kutoka kwa maiti na kurudi kwa vichanga
10. Wazungu ni breed ya watoto wa chitauli na mwanamke wa kiafrika
11. DNA zote za wanawake duniani zina link africa
12. Tumechanganyiwa DNA ndo maana hatujui tumetoka wapi,kwanini tupo hapa na tunaelekea wapi
13. Tulikuwa na teknologia mara 1000 ya sasa,hatukuwa nyani wala hatukuumbwa na Mungu.
14. Mungu maana yake ''aliyeshuka toka angani'',ndio asili ya neno hilo wakimaanisha kiumbe wa ajabu mwenye uwezo wa kuua na kufufua,kuumba na kupoteza mf.chitauli,draco na wengine
15. Tunajua kila kitu ila tumefumbwa ufahamu,kila tunapotoka kwenye maiti tunafutwa kumbukumbu na kurudi tena japo bado duniani pia si kwetu.
16. Ukifa ukiona mwanga usielekee huko nenda upande wenye giza ndipo utajitoa kwenye hili gereza,ukifata mwanga utanasa kwenye neti za roho za kufuta memory na utarudi
Wewe je
Hiyo.no.5 hasa kuhusu kituo Cha luwenzory naomba ufafa nuzi mkuuHabari wakuu
1. Binadamu hawafi ,miili ndo hufika mwisho kuoperate
2. Sisi ni immortals/spiritual beings hatufii
3. Hakuna motoni wala mbinguni
4. Sio kila mwenye mwili wa mtu ni binadamu,wengine ni chitauli/aliens na wengine mijusi/reptilia
5. Tunaishi kwenye duara la maisha,tukitoka kwenye miili iliyokufa tunarudi tena kwenye miili inayozaliwa,tunafutwa kumbukumbu na roho kama sisi zenye ufahamu kubwa ambazo hazina upendo na hekima,kituo chao kimoja duniani kipo chini ya mlima ruwenzori
6. Kila mtu ni mchawi sema hajui kuutumia au kuuamsha na uwe mbaya au mzuri ni uamuzi wako
7. Vitabu vyote vya dini vimetokea mashariki ya kati ni vimeandikwa na wakufunzi wa shule za ajabu za misri/kemeti wenye kabila la levi/wayahudi wa zamani
8. Sisi tumetokea kwenye utupu mkuu kama roho ila miili tuliiumba kama majaribio ,kuna muda tuliiva tukashindwa kujitoa
9. Dunia ni jela ya roho za ulimwengu mwingine ambazo hukaa ndani ya miili maisha yao yote kutoka kwa maiti na kurudi kwa vichanga
10. Wazungu ni breed ya watoto wa chitauli na mwanamke wa kiafrika
11. DNA zote za wanawake duniani zina link africa
12. Tumechanganyiwa DNA ndo maana hatujui tumetoka wapi,kwanini tupo hapa na tunaelekea wapi
13. Tulikuwa na teknologia mara 1000 ya sasa,hatukuwa nyani wala hatukuumbwa na Mungu.
14. Mungu maana yake ''aliyeshuka toka angani'',ndio asili ya neno hilo wakimaanisha kiumbe wa ajabu mwenye uwezo wa kuua na kufufua,kuumba na kupoteza mf.chitauli,draco na wengine
15. Tunajua kila kitu ila tumefumbwa ufahamu,kila tunapotoka kwenye maiti tunafutwa kumbukumbu na kurudi tena japo bado duniani pia si kwetu.
16. Ukifa ukiona mwanga usielekee huko nenda upande wenye giza ndipo utajitoa kwenye hili gereza,ukifata mwanga utanasa kwenye neti za roho za kufuta memory na utarudi
Wewe je
Mhh 🤗🤗 wewe unampango gani na sisi lakini..!16. Ukifa ukiona mwanga usielekee huko nenda upande wenye giza
Namba 3,na namba 13 zimenijulisha kuwa wewe ni mgonjwa wa akili kabisa,Shigongo alikuwa sahihi aliposema Bungeni kuwa Watanzania wengi wanaumwa ugonjwa wa akili kwa sababu ya maisha magumuHabari wakuu
1. Binadamu hawafi, miili ndo hufika mwisho kuoperate
2. Sisi ni immortals/spiritual beings hatufii
3. Hakuna motoni wala mbinguni
4. Sio kila mwenye mwili wa mtu ni binadamu,wengine ni chitauli/aliens na wengine mijusi/reptilia
5. Tunaishi kwenye duara la maisha,tukitoka kwenye miili iliyokufa tunarudi tena kwenye miili inayozaliwa,tunafutwa kumbukumbu na roho kama sisi zenye ufahamu kubwa ambazo hazina upendo na hekima,kituo chao kimoja duniani kipo chini ya mlima ruwenzori
6. Kila mtu ni mchawi sema hajui kuutumia au kuuamsha na uwe mbaya au mzuri ni uamuzi wako
7. Vitabu vyote vya dini vimetokea mashariki ya kati ni vimeandikwa na wakufunzi wa shule za ajabu za misri/kemeti wenye kabila la levi/wayahudi wa zamani
8. Sisi tumetokea kwenye utupu mkuu kama roho ila miili tuliiumba kama majaribio ,kuna muda tuliiva tukashindwa kujitoa
9. Dunia ni jela ya roho za ulimwengu mwingine ambazo hukaa ndani ya miili maisha yao yote kutoka kwa maiti na kurudi kwa vichanga
10. Wazungu ni breed ya watoto wa chitauli na mwanamke wa kiafrika
11. DNA zote za wanawake duniani zina link africa
12. Tumechanganyiwa DNA ndo maana hatujui tumetoka wapi,kwanini tupo hapa na tunaelekea wapi
13. Tulikuwa na teknologia mara 1000 ya sasa,hatukuwa nyani wala hatukuumbwa na Mungu.
14. Mungu maana yake ''aliyeshuka toka angani'',ndio asili ya neno hilo wakimaanisha kiumbe wa ajabu mwenye uwezo wa kuua na kufufua,kuumba na kupoteza mf.chitauli,draco na wengine
15. Tunajua kila kitu ila tumefumbwa ufahamu,kila tunapotoka kwenye maiti tunafutwa kumbukumbu na kurudi tena japo bado duniani pia si kwetu.
16. Ukifa ukiona mwanga usielekee huko nenda upande wenye giza ndipo utajitoa kwenye hili gereza,ukifata mwanga utanasa kwenye neti za roho za kufuta memory na utarudi
Wewe je
Nyie ndo wale wale mliojiua kwenye msitu wa shakaholaUna hoja usikilizwe
Ah wapiNyie ndo wale wale mliojiua kwenye msitu wa shakahola
unajitoa tu ufahamu, ila unajua moto upo, na utakuja kuungua.hizi. nazo story zahovyo tu.! ivi Leo afufuke babu yangu anambie kuna moto. niache zambi kweli nitakataa na nisiamini.? nilipofikia now siamini kilakitu kwenye huu ulimwengu hadi nione nakusikia au kihisi kwa kutumia ngozi
ni kwasababu unaishi kimwili, ndio maana unafikiri kimwili, shetani ameushika ufahamu wako, amekutwika kiburi, kiwe cha elimu au pesa au exposure au vyovyote, ndio maana hauamini kwamba kuna maisha baada ya kifo. Laiti ungalijua kwamba hata hapahapa duniani wapo watu wengi sana pamoja na kuishi kimwili, wanaishi kiroho na kuoperate kiroho pia, sasaivi wewe umelala wapo watu wanaoperate spiritually kabisa kwa kusafiri na kufanay shughuli mbalimbali ila miili yao imelala kwenye kitanda kwao.life is nothing but an experience and we are the experiencers, everyone is experiencing their own realities and its these experiences which give life the meaning
Kuhusu maisha baada ya kifo,majibu sahihi anayo yule aliye experience kifo
Nyingi ni stori za binadamu hai kwa binadamu hai mwenzake.
ivi kwani watu walio okoka hawafi.? alafu wew umewahi kuishi kiroho.? sema mtupanga mtupige visadaka tu hakuna loloteni kwasababu unaishi kimwili, ndio maana unafikiri kimwili, shetani ameushika ufahamu wako, amekutwika kiburi, kiwe cha elimu au pesa au exposure au vyovyote, ndio maana hauamini kwamba kuna maisha baada ya kifo. Laiti ungalijua kwamba hata hapahapa duniani wapo watu wengi sana pamoja na kuishi kimwili, wanaishi kiroho na kuoperate kiroho pia, sasaivi wewe umelala wapo watu wanaoperate spiritually kabisa kwa kusafiri na kufanay shughuli mbalimbali ila miili yao imelala kwenye kitanda kwao.
zaidi ya yote, Biblia imeeleza wazi, Yesu mwenyewe alieleza kwamba kuna maisha baada ya kufa. na kwa kudhihirisha zaidi, yeye alikufa na siku ya tatu akafufuka, hivyo aliongea kulingana na experience, hizi sio story za abunuasi, ni vitu halisi ambavyo unatakiwa kuvitafakari usiku na mchana. Uelewe kuna maisha mengine baada ya haya ambayo unaweza aidha kwenda uzimani au motoni, uchaguzi ni wako.
Ili upone, unatakiwa kumpokea Yesu Kristo awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako, utapata uzima wa milele hapa duniani na baada ya maisha haya, huu ni ushauri wangu kwako kabla haujaburutwa siku moja uokoke kwa nguvu, though wapo watu ambao unawezafikiri pengine waliandikiwa mauti kwasababu hata uwahubirie vipi hawaamini, wabishi tu, ila ni kwasababu ya kiburi cha uzima ambao Mungu mwenyewe ndio amewapa. Mungu akurehemu.