Nimegundua hizi tofauti kwa warembo flat screens na wenye booties

Wanawake wengi wenye takoz kichwani hakuna kitu, wanapenda sana kutaka vitu kiurahisi.

Flat ni hustlers yeah wengi wana sharp mind.

F*ck takoz bt mary Flat huh
 
Akili zao zinahamia matakoni ndo maana flat wanawafunika, ila binafsi napenda demu mwenye matako ya wastani
 
Aise demu mwenye tako la maana kwangu huwa nahonga hata mshahara wote wa mwezi.flat screen hapana kwakweli maana hawana tofauti na wanaume.flat screen hata elfu 10 yangu ni ngumu kuipata.
Hurumaaa......unatia hurumaa[emoji445] [emoji445] [emoji445]
 
Flat screen hachok haraka halaf viumbo vyao vinavutiaa mabongez atavutia akiwan ndan ya nguo lakin akitoa ni majangaa halaf wengi wao wanavitambii kwangu mwanamke mwembamba namfeel sana hata ukosea haoni aibu kukuchana, ila wana mdomo hao wengi wao wambea hasa wale wa uswahilini
 
Usisahau pia kuwa big mshededez wanaongoza kwa kushukia kituo cha 'mawasiliano' pale simu 2000 wakitokea mikoani.

Kama hamjaelewa mtafuteni mdogo wangu Mentor awatafsirie
 
Usisahau pia kuwa big mshededez wanaongoza kwa kushukia kituo cha 'mawasiliano' pale simu 2000 wakitokea mikoani.

Kama hamjaelewa mtafuteni mdogo wangu Mentor awatafsirie
Hahaha...nimekuelewa sana, mitandao yao ya mawasiliano inashika channel zaidi ya moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…