Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,894
- Thread starter
-
- #41
Waoga hao...ni wageni mjini halafu wenye nyama zao wanapendezea sana simu 2000, yaani dereva atajikuta tu anavutika nayo na kuanza udereva wake.Ila 'Simu 2000' si ndio kituo cha mabasi yote, ya Pwani Mbweni mpaka bara Kimara?
Why flat wasitumie?
Tukutane Pm room nami nile mshahara wako bobAise demu mwenye tako la maana kwangu huwa nahonga hata mshahara wote wa mwezi.flat screen hapana kwakweli maana hawana tofauti na wanaume.flat screen hata elfu 10 yangu ni ngumu kuipata.
Mkeo flat au dada yako?Wanawake wengi wenye takoz kichwani hakuna kitu, wanapenda sana kutaka vitu kiurahisi.
Flat ni hustlers yeah wengi wana sharp mind.
F*ck takoz bt mary Flat huh
Sina mke wala dada flat....Mkeo flat au dada yako?
Umezungukaaaa lakini umerudi kwenye ncha ile ile ya KaskaziniAkili zao zinahamia matakoni ndo maana flat wanawafunika, ila binafsi napenda demu mwenye matako ya wastani
Naomba niwe dada yako wa hiari basi.Sina mke wala dada flat....
Wajaribu.Waoga hao...ni wageni mjini halafu wenye nyama zao wanapendezea sana simu 2000, yaani dereva atajikuta tu anavutika nayo na kuanza udereva wake.
Wew si big tako??Naomba niwe dada yako wa hiari basi.
Akili zangu haziko makalioni
Nimechanganya, kwa baba flat....kwa mama big bambamWew si big tako??
So zile chromsomez 24 umechukua wapi baba au mmaNimechanganya, kwa baba flat....kwa mama big bambam
duh hili jibu lako tu linamwonyesha hana tako.hahahaHebu acha ufala na wewe mama kaingiaje hapa, hauna tako nini mbona hasira
Hahahaha....sasa umemrithi baba au mama?Nimechanganya, kwa baba flat....kwa mama big bambam
So zile chromsomez 24 umechukua wapi baba au mma
Hahahaha....sasa umemrithi baba au mama?
aisee wewe utakuwa mwenye heri.Ukija kwa mbele utakutana na sura ya baba ila ukigeuka nyuma mama mtupu.
So shavu la dady ila hump ya maza.Ukija kwa mbele utakutana na sura ya baba ila ukigeuka nyuma mama mtupu.
Hahahaah nawe ni timu flat screen??Hebu acha ufala na wewe mama kaingiaje hapa, hauna tako nini mbona hasira
So shavu la dady ila hump ya maza.
Ujaaliwe miaka mingi.
Kwa mbele hata ungefanana na ngiri ila kama nyuma mzigo upo baasi. Marks 100%Ukija kwa mbele utakutana na sura ya baba ila ukigeuka nyuma mama mtupu.
Umependezaaa aisee shake t kdigo[emoji6] [emoji6]
nawe ni ki portable?Team flat screen oyeeee long live table mats.