Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,894
- Thread starter
- #41
Waoga hao...ni wageni mjini halafu wenye nyama zao wanapendezea sana simu 2000, yaani dereva atajikuta tu anavutika nayo na kuanza udereva wake.Ila 'Simu 2000' si ndio kituo cha mabasi yote, ya Pwani Mbweni mpaka bara Kimara?
Why flat wasitumie?