Nimegundua kioo haki reflect picha halisi.

hapana macho yetu ndo tanatudanganya...
unaweza kuamka asubui siku zingine unajiona mzurii ,wakati mwingine wa kawaida...

mimi nahisi ni macho na fikra zetu ndio zinatufanya tushindwe kujiona...
pia vioo inategemea kioo kimekaaje
kirefu/kipana au square...
kioo kipana utajiona mnene, kirefu utajiona mwembamba mrefu..
kioo square utajiona vizuri...
 
kuna vioo vingine ukijiangalia unajiona mweusi alafu na tuvipelele tudogodogo usoni, vingine maji ya kunde alafu upo soft hahahahah
 
Ni kwl mkuu..ndy maana unakuta MTU NI MBAYA hatari..lakini ANARINGA balaa..sasa NAJIULIZA...huyu anajijuwa kweli..?au mtu ana tumbo balaa...anajiona MODO
 
Mkono wa kulia kwenye kioo unaonekana wa kushoto, wa kushoto unaonekana wa kulia. Unakubaliana na hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…