Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hivi hapa siyo chit - chat? Hebu futa kauli.Huyo huyo aliomba ushauri kuwa asome PCM AU PCB. Kumaanisha alifaulu masomo ya sayansi.
Leo hata hajui namna kioo kinavyoweza kuathiri taswira ya kitu.
Ni aibu mwanaume kila Mara kuwa na Mzaha.