Nimegundua kitu gari ikiwa na mafuta full tank

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,286
Reaction score
39,418
Wakuu salama? Bila shaka acha niende kwa mada,

Kutokana na kuendesha gari tofauti tofauti, manual na automatic nimegundua hili.

Gari ikiwa na wese full tank au hata ikiwa kwenye half tank ukiwa road gari inakua inachanganya fasta sana afu hata engine inaaunguruma fresh kabisa smoothhh.

Gari ikiwa chini ya half tank utaona utofauti hata kuchanganya na muungurumo wa engine. Gari haichanganyi haraka hta rpm utaona inasuasua.
Ni hayo tu
 
Ugeni na full tank unakusumbua.
 
Kongole kwa kuweka full tenki.
Ez9nEc1XsAAt-WQ.jpeg
 
Ndio madhara ya kuendesha Passo ikiwa na mafuta ya buku tano, Sasa umeomba lift kwa jamaa wa rav 4 hapo kazi😂😂😂
 
Wakuu salama? Bila shaka acha niende kwa mada,

Kutokana na kuendesha gari tofauti tofauti, manual na automatic nimegundua hili.

Gari ikiwa na wese full tank au hata ikiwa kwenye half tank ukiwa road gari inakua inachanganya fasta sana afu hata engine inaaunguruma fresh kabisa smoothhh.

Gari ikiwa chini ya half tank utaona utofauti hata kuchanganya na muungurumo wa engine. Gari haichanganyi haraka hta rpm utaona inasuasua.
Ni hayo tu
Sawa, kwasababu umegundua acha tukupe u profeseli mkuu
 
Utaratibu wangu najaza,natumia hadi yaishe najaza tena....naendelea hivyo hivyo.
Naonaga yakiisha kama kwenye kujaza natoa hela nyingi sana.. tofauti na ikiwa nusu tank najidanganya hivyo yani kwamba sijatoa hela nyingi.. kama hivi kesho kutwa nina trip ya zaidi ya hadi jumatatu nina zaidi ya 1800km za kutembea
 
Back
Top Bottom