Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Wakuu salama? Bila shaka acha niende kwa mada,
Kutokana na kuendesha gari tofauti tofauti, manual na automatic nimegundua hili.
Gari ikiwa na wese full tank au hata ikiwa kwenye half tank ukiwa road gari inakua inachanganya fasta sana afu hata engine inaaunguruma fresh kabisa smoothhh.
Gari ikiwa chini ya half tank utaona utofauti hata kuchanganya na muungurumo wa engine. Gari haichanganyi haraka hta rpm utaona inasuasua.
Ni hayo tu