Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Ugeni na full tank unakusumbua.Wakuu salama? Bila shaka acha niende kwa mada,
Kutokana na kuendesha gari tofauti tofauti, manual na automatic nimegundua hili.
Gari ikiwa na wese full tank au hata ikiwa kwenye half tank ukiwa road gari inakua inachanganya fasta sana afu hata engine inaaunguruma fresh kabisa smoothhh.
Gari ikiwa chini ya half tank utaona utofauti hata kuchanganya na muungurumo wa engine. Gari haichanganyi haraka hta rpm utaona inasuasua.
Ni hayo tu
Ugeni na full tank unakusumbua.
Kwahio unaendesha mshale ukishuka kidogo unarudisha iwe full tank? HongeraSio ugeni na full tank, nazingatia sana wese lisifike chini ya full tank. Ila uo ndo ukweli japo wabongo watapinga hapa tukianza na wewe
Ukishalizoea utaona hata Mafuta ya 20k Gari inaunguruma fresh kabisa mpk utajiuliza hivi guts za kuweka full tank nilikuaga nazitoa wapi?Sio ugeni na full tank, nazingatia sana wese lisifike chini ya full tank. Ila uo ndo ukweli japo wabongo watapinga hapa tukianza na wewe
Sawa, kwasababu umegundua acha tukupe u profeseli mkuuWakuu salama? Bila shaka acha niende kwa mada,
Kutokana na kuendesha gari tofauti tofauti, manual na automatic nimegundua hili.
Gari ikiwa na wese full tank au hata ikiwa kwenye half tank ukiwa road gari inakua inachanganya fasta sana afu hata engine inaaunguruma fresh kabisa smoothhh.
Gari ikiwa chini ya half tank utaona utofauti hata kuchanganya na muungurumo wa engine. Gari haichanganyi haraka hta rpm utaona inasuasua.
Ni hayo tu
Full tankUkishalizoea utaona hata Mafuta ya 20k Gari inaunguruma fresh kabisa mpk utajiuliza hivi guts za kuweka full tank nilikuaga nazitoa wapi?
Sawasawa fogo.Full tank
Kwahio unaendesha mshale ukishuka kidogo unarudisha iwe full tank? Hongera
Naona mnakula vitu vyema tu mna raha sana nyie wamiliki migodi ππSawasawa fogo.
ππ akutukanae hakuchagulii tusi mzee.Naona mnakula vitu vyema tu mna raha sana nyie wamiliki migodi ππ
Utaratibu wangu najaza,natumia hadi yaishe najaza tena....naendelea hivyo hivyo.[emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa sisubir gari ilalamike wese nazingatia iwe full tank
Kingine,
Gar ikiwa fulltank, hata matumizi ya mafuta yanakua slow
Naonaga yakiisha kama kwenye kujaza natoa hela nyingi sana.. tofauti na ikiwa nusu tank najidanganya hivyo yani kwamba sijatoa hela nyingi.. kama hivi kesho kutwa nina trip ya zaidi ya hadi jumatatu nina zaidi ya 1800km za kutembeaUtaratibu wangu najaza,natumia hadi yaishe najaza tena....naendelea hivyo hivyo.
Papaa wa @kupuliza ππππππ akutukanae hakuchagulii tusi mzee.