Nimegundua kitu gari ikiwa na mafuta full tank

Naonaga yakiisha kama kwenye kujaza natoa hela nyingi sana.. tofauti na ikiwa nusu tank najidanganya hivyo yani kwamba sijatoa hela nyingi.. kama hivi kesho kutwa nina trip ya zaidi ya hadi jumatatu nina zaidi ya 1800km za kutembea
Huwa naweka same amount ya hela na gauge inafika level ile ile....hivi karibuni effect za tozo imebidi bajeti ipande kwa 20,000/- ili ijae.
 
Uko sahihi,mimi hiyo nimeigundua gari inapokuwa taa ya mafuta imewaka,gari inakosa nguvu,na muungurumo huwa wa juu kidogo unapoilazimisha kutumia nguvu..
Utaratibu wangu najaza,natumia hadi yaishe najaza tena....naendelea hivyo hivyo.
Welcome to the club😁...
 
Not true.....ikijaa ndio inatumia zaidi kuliko ikiwa nusu kwasababu ya mzigo mkubwa(full tank ni mzigo).
Hivi kwanini gari zile mashindano, kule majuu, ukikutwa una nusu liter, kwenye gar, inahesabiwa ni kosa, wanaruhusu angalau kuanzi liter moja.
 
Nnachojua hapo n fuel pump inakuwa inabehave proper ila fuel gauge ikiwa chini ya robo tank fuel pump inakuwa inatumia more effort kupush ndo maana inatokea ilo na kuongezeka kdgo ktk consumption
 
Nnachojua hapo n fuel pump inakuwa inabehave proper ila fuel gauge ikiwa chini ya robo tank fuel pump inakuwa inatumia more effort kupush ndo maana inatokea ilo na kuongezeka kdgo ktk consumption

This makes sense.

-Kaveli-
 
Hivi kwanini gari zile mashindano, kule majuu, ukikutwa una nusu liter, kwenye gar, inahesabiwa ni kosa, wanaruhusu angalau kuanzi liter moja.
Hii sijui itabidi nitafute taarifa.
 
Hivi kwanini gari zile mashindano, kule majuu, ukikutwa una nusu liter, kwenye gar, inahesabiwa ni kosa, wanaruhusu angalau kuanzi liter moja.
lazma ubakishe 1ltr for test analysis if umetumia racing fuel yenye additive za aina gan cz kuna zingne zinakuwa na advantage ktk burning so gari ako itakuwa na advantage zaidi ya wenzio kisheria n kosa kuongeza izo additive
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…