RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Huwa naweka same amount ya hela na gauge inafika level ile ile....hivi karibuni effect za tozo imebidi bajeti ipande kwa 20,000/- ili ijae.Naonaga yakiisha kama kwenye kujaza natoa hela nyingi sana.. tofauti na ikiwa nusu tank najidanganya hivyo yani kwamba sijatoa hela nyingi.. kama hivi kesho kutwa nina trip ya zaidi ya hadi jumatatu nina zaidi ya 1800km za kutembea