Kitendo cha TAL kututetea na sisi kuendelea kulala majumbani kwetu inaonesha kuwa SISI sote ni wapumbavu na wajinga sana. Niliwaona Mababu zetu wajinga/wapumbavu kwa kitendo chao cha kumwogopa MWARABU mmpoja mwenye Jambia moja wakati wao wapo zaidi ya mia tano katika Msafara wa watumwa. Leo hii TAL anatutetea watu zaidi ya 60m tena baada ya kupigwa Risasi 16 bado wengine wanamtukana kama Yesu alivyotukanwa Msalabani. KIbaya zaidi wapo wengine WAKRISTU kama BASHITE, MAKALA na WASIRA.
Jamani tuamke...tuache kusikiliza matumbo yetu...tusikilize mioyo yetu.....tunahitaji kufanya jambo,,,,,
Jamani tuamke...tuache kusikiliza matumbo yetu...tusikilize mioyo yetu.....tunahitaji kufanya jambo,,,,,