TAL anatetea tumbo lakeKitendo cha TAL kututetea na sisi kuendelea kulala majumbani kwetu inaonesha kuwa SISI sote ni wapumbavu na wajinga sana. Niliwaona Mababu zetu wajinga/wapumbavu kwa kitendo chao cha kumwogopa MWARABU mmpoja mwenye Jambia moja wakati wao wapo zaidi ya mia tano katika Msafara wa watumwa. Leo hii TAL anatutetea watu zaidi ya 60m tena baada ya kupigwa Risasi 16 bado wengine wanamtukana kama Yesu alivyotukanwa Msalabani. KIbaya zaidi wapo wengine WAKRISTU kama BASHITE, MAKALA na WASIRA.
Jamani tuamke...tuache kusikiliza matumbo yetu...tusikilize mioyo yetu.....tunahitaji kufanya jambo,,,,,
KabisaUnajua nini mkuu,bado maisha yetu ni simple hajafikia kuanza kupambana na polisi mpaka kuuwana nao
Ngoja kwanza kariakoo iwe ya wachina watupu,zisiwepo ajira hata za saidia fundi hapo ndo tutamwelewa Lissu
Sahihi kabisa mkuuKitendo cha TAL kututetea na sisi kuendelea kulala majumbani kwetu inaonesha kuwa SISI sote ni wapumbavu na wajinga sana. Niliwaona Mababu zetu wajinga/wapumbavu kwa kitendo chao cha kumwogopa MWARABU mmpoja mwenye Jambia moja wakati wao wapo zaidi ya mia tano katika Msafara wa watumwa. Leo hii TAL anatutetea watu zaidi ya 60m tena baada ya kupigwa Risasi 16 bado wengine wanamtukana kama Yesu alivyotukanwa Msalabani. KIbaya zaidi wapo wengine WAKRISTU kama BASHITE, MAKALA na WASIRA.
Jamani tuamke...tuache kusikiliza matumbo yetu...tusikilize mioyo yetu.....tunahitaji kufanya jambo,,,,,
Uoni akivyo km JituHuyu ni kiumbe wa hovyo sana
Labda anakutetea zombie km wewe, kwanini usijitokeze kumtetea? Unamsubiri nani? Au we ni msukule?Kitendo cha TAL kututetea na sisi kuendelea kulala majumbani kwetu inaonesha kuwa SISI sote ni wapumbavu na wajinga sana. Niliwaona Mababu zetu wajinga/wapumbavu kwa kitendo chao cha kumwogopa MWARABU mmpoja mwenye Jambia moja wakati wao wapo zaidi ya mia tano katika Msafara wa watumwa. Leo hii TAL anatutetea watu zaidi ya 60m tena baada ya kupigwa Risasi 16 bado wengine wanamtukana kama Yesu alivyotukanwa Msalabani. KIbaya zaidi wapo wengine WAKRISTU kama BASHITE, MAKALA na WASIRA.
Jamani tuamke...tuache kusikiliza matumbo yetu...tusikilize mioyo yetu.....tunahitaji kufanya jambo,,,,,
Uko sahihi. tasikia vijana wa sasa wanasema mababu zetu walikuwa wajinga kumbe wale wazee walikuwa mashujaa kuliko sisi.Kitendo cha TAL kututetea na sisi kuendelea kulala majumbani kwetu inaonesha kuwa SISI sote ni wapumbavu na wajinga sana. Niliwaona Mababu zetu wajinga/wapumbavu kwa kitendo chao cha kumwogopa MWARABU mmpoja mwenye Jambia moja wakati wao wapo zaidi ya mia tano katika Msafara wa watumwa. Leo hii TAL anatutetea watu zaidi ya 60m tena baada ya kupigwa Risasi 16 bado wengine wanamtukana kama Yesu alivyotukanwa Msalabani. KIbaya zaidi wapo wengine WAKRISTU kama BASHITE, MAKALA na WASIRA.
Jamani tuamke...tuache kusikiliza matumbo yetu...tusikilize mioyo yetu.....tunahitaji kufanya jambo,,,,,
Kwa nini???? Hata Mimi najiulizaKitendo cha TAL kututetea na sisi kuendelea kulala majumbani kwetu inaonesha kuwa SISI sote ni wapumbavu na wajinga sana. Niliwaona Mababu zetu wajinga/wapumbavu kwa kitendo chao cha kumwogopa MWARABU mmpoja mwenye Jambia moja wakati wao wapo zaidi ya mia tano katika Msafara wa watumwa. Leo hii TAL anatutetea watu zaidi ya 60m tena baada ya kupigwa Risasi 16 bado wengine wanamtukana kama Yesu alivyotukanwa Msalabani. KIbaya zaidi wapo wengine WAKRISTU kama BASHITE, MAKALA na WASIRA.
Jamani tuamke...tuache kusikiliza matumbo yetu...tusikilize mioyo yetu.....tunahitaji kufanya jambo,,,,,
TAL anatetea tumbo lake
Labda anakutetea wewe! Usitutukane, huyo msaliti wako yuko hapo kwa faida ya Wabelgiji na ndio maana hata familia yake kapeleka Marekani. Sasa wewe nyumbu unafikiri anakutetea wewe shithole.Kitendo cha TAL kututetea na sisi kuendelea kulala majumbani kwetu inaonesha kuwa SISI sote ni wapumbavu na wajinga sana. Niliwaona Mababu zetu wajinga/wapumbavu kwa kitendo chao cha kumwogopa MWARABU mmpoja mwenye Jambia moja wakati wao wapo zaidi ya mia tano katika Msafara wa watumwa. Leo hii TAL anatutetea watu zaidi ya 60m tena baada ya kupigwa Risasi 16 bado wengine wanamtukana kama Yesu alivyotukanwa Msalabani. KIbaya zaidi wapo wengine WAKRISTU kama BASHITE, MAKALA na WASIRA.
Jamani tuamke...tuache kusikiliza matumbo yetu...tusikilize mioyo yetu.....tunahitaji kufanya jambo,,,,,
Inakuhusu wewe nyumbu au?Wewe, hoja haikuhusu hii, kwa nini una kimbeleembele? Hoja ni kwaajili ya wenye akili timamu pekee.