Nimegundua kumbe Jehanamu ni pale Gongo La Mboto!!

Nimegundua kumbe Jehanamu ni pale Gongo La Mboto!!

Nimekuwa nikitafakari sana kuhusu jehanamu hasa kujua iko wapi nikitumia google photo map walau kupata direction yake.

Asee kumbe hata google map haifui dafu ikanibidi nitumie tu knowlege aliyoitumia Christopher Columbus kuigundua Marekani


Imenichukua miaka kumi jana usiku ndio nimekuja kugundua kumbe Jehanamu sio mbali ni hapo Gongo La Mboto asee

Wakaazi mnaoishi Jehanamu naombeni muhame haraka sana mnaishi Jehanamu ndio maana wakazi wengi wa Gongo La Mboto mapambano yao hayazai matunda.


We fikiria tu kwanini waite Gongo la Mboto, Nilijichimbia kujua undani wa jina hili kumbe mboto ni shetani kwa lugha ya kimanyere na kisazi sasa shetani anatumiaga Gongo kutembelea toka alivojeruhiwa baada ya kufukuzwa kutoka mbinguni alipotaka afanye mapinduzi

Hivo Gongo la Mboto ni Gongo La Shetani.


Chapisho langu la utafiti nataka niliweke kwenye website kubwa tu sema humu siwezi weka maana akina paratrooper hawakawii kucopy na kupaste kupeleka kule X kwa jiniazi mwenzangu
IMG-20250121-WA0071.jpg
 
Back
Top Bottom