Nimegundua kuna mdada makini humu JF kaweka picha yangu kama avatar yake

Nimegundua kuna mdada makini humu JF kaweka picha yangu kama avatar yake

youngdonats18

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
685
Reaction score
443
Jamani imekua kama taarifa za hivi punde za ITV yani mara paap nakutana na mrembo machachari wa JF kaweka picha yangu kwenye avatar yake nadhani mimi ndo wa kwanza kuwahi kutokea toka JF imeanza.

Naomba mnipe hatua za kufanya katika hili swala, nitatoa jina lake humu mda si mrefu ili wote mjionee.

Mpaka sasa nimemtia block asione huu uzi niloanzisha so kwa wale wenye hofu kwamba atabadilisha, forget it na pia nitatuma screenshot za huko PM maana nimejaribu kuchukua hatua ila nao na so madhubuti.

Ambao hamna imani juu ya haya mambo mnaruhusiwa kucomment pia.
 
Mkuu ni mdada gani huyo? Ingekuwa vyema kama ungemtaja maana kama umeshamblock hawezi kujua kama umemtaja hapa
 
Hayo matatizo ni mengi sana haswa nyanda za chini kaskazini ilianza kudhihirika pale Tanesco walivyoona Koffi olomide hafai na badala yake wanamhitaji Kichuya.

Wenyewe walidhani kila asubuhi wakija wanajiandaa wanaenda mahakamani ili kuendelea na ujenzi wa taifa, mimi sijui lakini majirani wananiambia watoto wangu wapo la pili au la tatu.
 
sio lazima kila kitu uelewe
 
Basi una bahati lakini walio wengi hapa nipicha zilizopatika katika mtandao bila kujua mwenye picha yupo wapi!
Uendelee na moyo huo huo, nadhan we ni mfano wa kuigwa kwa kupenda kuhoji then unaappreciate[emoji106] [emoji106]
 
Back
Top Bottom