youngdonats18
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 685
- 443
Jamani imekua kama taarifa za hivi punde za ITV yani mara paap nakutana na mrembo machachari wa JF kaweka picha yangu kwenye avatar yake nadhani mimi ndo wa kwanza kuwahi kutokea toka JF imeanza.
Naomba mnipe hatua za kufanya katika hili swala, nitatoa jina lake humu mda si mrefu ili wote mjionee.
Mpaka sasa nimemtia block asione huu uzi niloanzisha so kwa wale wenye hofu kwamba atabadilisha, forget it na pia nitatuma screenshot za huko PM maana nimejaribu kuchukua hatua ila nao na so madhubuti.
Ambao hamna imani juu ya haya mambo mnaruhusiwa kucomment pia.