youngdonats18
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 685
- 443
Nimefnya ivo ili asiitoe ili nikimtaja mkajionee wenyeweMkuu ni mdada gani huyo? Ingekuwa vyema kama ungemtaja maana kama umeshamblock hawezi kujua kama umemtaja hapa
Kwan Yakamagashi maana yake nn sidhan km ni kibantu, ndo maana huelew aseeHapa wewe unataka nini sasa? Ushauri, kejeli, matusi au sijakuelewa
Dah sawa ngoja waje wanao kuelewaKwan Yakamagashi maana yake nn sidhan km ni kibantu, ndo maana huelew asee
Bwana naona unalazimisha kulichukulia poa hili swalaKawaida mambo ya google hivyo usidhani kakuzimikia ukatolewa nishai!
Kwani wewe hiyo uliyoiweka ni picha yako halisi??je unajua mwenye picha yuko wapi??acha mbwembwe.Bwana naona unalazimisha kulichukulia poa hili swala
Thats mm mkuu, na hiyo ndo pic alochukua shemej ako ajaeKwani wewe hiyo uliyoiweka ni picha yako halisi??je unajua mwenye picha yuko wapi??acha mbwembwe.
sio lazima kila kitu ueleweHayo matatizo ni mengi sana haswa nyanda za chini kaskazini ilianza kudhihirika pale Tanesco walivyoona Koffi olomide hafai na badala yake wanamhitaji Kichuya.
Wenyewe walidhani kila asubuhi wakija wanajiandaa wanaenda mahakamani ili kuendelea na ujenzi wa taifa, mimi sijui lakini majirani wananiambia watoto wangu wapo la pili au la tatu.
Nasubir ushaur kutoka kwa mtu makini then nitupie username yake mkajioneee with ur naked eyesMtaje mkuu
Basi una bahati lakini walio wengi hapa nipicha zilizopatika katika mtandao bila kujua mwenye picha yupo wapi!Thats mm mkuu, na hiyo ndo pic alochukua shemej ako ajae
Uendelee na moyo huo huo, nadhan we ni mfano wa kuigwa kwa kupenda kuhoji then unaappreciate[emoji106] [emoji106]Basi una bahati lakini walio wengi hapa nipicha zilizopatika katika mtandao bila kujua mwenye picha yupo wapi!