Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Wakuu,
Hapo mwanzo na hata nilipokuwa mdogo, nilikuwa nikipenda sana kushehereka birthday kila ninapotimiza miaka fulani, (siku ya kuzaliwa)
Lakini kadri umri unavyokwemda unakuja kugundua ni upumbavu na kupoteza muda, haswa sisi wanaume tuachane na haya mambo ya watoto, kama mimi nimeacha kuanzia sasa.
Eti ooh "happy birthday to mee" then what?
Yaani nimekuja kuona kwamba binadamu tunafurahia siku za kuishi kwetu zinapungua then unafurahia? Kivipi?
Haya mambo naona kama sisi wa Njombe na Ludewa tumeiga tu kwa wanaume wa Dar mimi nimeacha shauri yenu.