Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuma Salam kwa watu watatKwani uongo??? aitoe wapi huyo mwana kijiji kwanza!! hata wanakijiji wenzago hawaijui, watakuona jizi maarifa tu!! yaani siyo b,day tu!! hata first day to see de sun ni sherehe tu!! hata yesu alipoondoka kwenda patakatifu pa pataka tifu ni sherehe tu!!
yaani sisi huku ni sherehe kila siku mabarabara hayapumziki kwa misururu ya magari iwe usiku iwe mchana ni misururu tuuu!! kwa kwenda mbele!! kumbi ziko busy every day!! ni mwendo wa kula na kunywa msituige mnasikia hamuwezi!!
kifupi Bongo Daisalama ni sherehe kila siku!! usije na vihela vyako humu kwa kuuza mahindi!! kingine kabla sija sahau kila siku asubuhi kabla ya kazi tuna Meza Mboga tuuuuuu, bila ugali!! km wewe maskini au unashinikizo la damu chai ya rangi,
ukiiga kunya kwa tembo..........
Sina hela nakula nyumbani kwako?Huna hela ya kufanya birth day party, kuvaa pete mpaka shingoni, ndo zetu tangu zama! huna huo utamaduni acha kusherehekea si mahali pako!!! Birth day zilianziaga Misri ya kale na Misri ni ya waafrica!! wao wazungu ndiyo wametuiga.
na ilikuwa ni siku maalumu ya mfalme kutoka tumboni mwa mama yake!! na yule alikuwa ana sababu maalumu ya kimizimu, na sasa kuna wafalme hao wamechanganyikana na wabantu humu lazima wafanye!!
dokta kumbuka kumbe upo humuUsiwapangie, wao waliamua iwe birth day!! lkn yako wewe ni birthdate shrehekea wewe na mkeo!!! ya watu hayakuhusu!! sasa wewe pilipili haiko shambani mwako yakuwashia nini??
huko mkoani maskini hamjui hata sikukuu zaMashujaa, uhuru, kuzaliwa kwa chama, kamwe hamsherekei, bali ni Musoma mjini na DSM baasi! BONGO DARISALAMA WEEE! nimeku miss!!! viburudisho mpaka mtaani jamani weee
Yaani huko njombe mwaka mpya sijui krismas mweee!! hawajawahi kivijua uiii!! sasa mnaanza kuchokonoa vya mjini hamtuwezi nyie wankijiji mtasubili sana.....''Dooodomaaa wanaenda na kurudi enheee!!'' unamjua alie imba hivi?? unadhani kwa nini....
Bush star na Birth day wapi na wapi !! msituchafulie mitindo yetu ya maisha bana!! ule kwangu si utaogopa?? navo chafua Meza wallahi hutarudi tena! kwanza Hela huko bush uitoe wapi?? mpaka ukauze maharage ya msimu!!Sina hela nakula nyumbani kwako?
Unaweza kukuta naww ni mwanaume kabisa unasherekea birthday?
Acheni mambo ya kijinga, hata ukiwa na hela fanya kuzitumia kwenye shughuli zenye maana na ukishindwa kunywa pombe au kahonge kuliko mwanaume mzima kuimbiwa happy birthday unakata keki we umekuwa mwali?
Ungana na mwenzio pichaniBush star na Birth day wapi na wapi !! msituchafulie mitindo yetu ya maisha bana!! ule kwangu si utaogopa?? navo chafua Meza wallahi hutarudi tena! kwanza Hela huko bush uitoe wapi?? mpaka ukauze maharage ya msimu!!
kimsingii uko sahihi ''huwezi'' ukifanyia huko kwenu Mbagala wanakucheka Mnoo!! lazima uone soo!!
ata kwa birth day yako waweza kunywa pombe tu siyo mpaka Bar!! Mwali ndo strehe yangu wangu bana usiwataje hovyo!!! tena mtamu tamu wacha kabisa! ujinga wa birth day nini ??? sema mazingira unayo ishi hamna utamaduni huo!! wachache wanao jua wanaona soo!!
kukumbuka siku mwanana ya kuzaliwa si ujinga?? hata hujui .....
x-Masa ni kuzaliwa kwa Yesu! wenzako tunakula bata kitaifa kila mwaka, Moshi ndo kabisaaa!
Angalia kuzaliwa kwa chama, mama weee tangu utotoni twa sherehekea
jamhuri, mama wee niseme nini......
kuzaliwa kwa TZ wenzako tunaitwaga Ikulu kula bata , kunywa na kula Disco km kawa, siyo pombe tu! mengiiiii! tyuuu tuna fanya isipokuwa zinaa!
sasa wewe unakaa huko kwenu Mahurunga karibu na nsumbiji utajuaje???? utapata wapi mwaliko wa birth day hata wa mwenye kiti wa Mtaa tu! nani anakuthamini kwanza huko!! Mtuachege haya ni mambo yetu!
lazima usijue haya mambo!! na kwa taarifa yako kamwe sherehe km hizi hazijawahi fanyikia huko mbali tunafanyia hapoo Magogoniiiiiiii!! na Mama Samia hatoki humu!!
Lile li Bush Star lenzako ndo lilianza mambo za kuleta hapa kutupelekesha tuuuu!! tuka liretisha in peace!!
Mara tule mihogo na soda kwenye sherehe za Muungano, mara tufanye usafi! tupige kavu yaani kuongozwa na Ma Bush stars shida sana!! Mambo yote bana Mzee wa Msoga wee!! yule ndo Born town hasa kula Bata Bata na wewe!! raha tupu
Aha!!!aaaa kikwete weeeeeeeeeeeeeeeeeeee