Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Hata ukinuna utakufa tu, ulitaka uishi milele?Kwa kweli nilikuwaga lakini nikaja kugundua ni upuuzi.
Ila acha tu tusheherekee kupungua siku zetu za kuishi.
Tutafanyeje sasa
Kuna upumbavu mwingi sana tunaiga iga mwanaume kusherehekea birthdayWakuu,
Hapo mwanzo na hata nilipokuwa mdogo, nilikuwa nikipenda sana kushehereka birthday kila ninapotimiza miaka fulani, (siku ya kuzaliwa)
Lakini kadri umri unavyokwemda unakuja kugundua ni upumbavu na kupoteza muda, haswa sisi wanaume tuachane na haya mambo ya watoto, kama mimi nimeacha kuanzia sasa.
Eti ooh "happy birthday to mee" then what?
Yaani nimekuja kuona kwamba binadamu tunafurahia siku za kuishi kwetu zinapungua then unafurahia? Kivipi?
Haya mambo naona kama sisi wa Njombe na Ludewa tumeiga tu kwa wanaume wa Dar mimi nimeacha shauri yenu.
Huna hela ya kufanya birth day party, kuvaa pete mpaka shingoni, ndo zetu tangu zama! huna huo utamaduni acha kusherehekea si mahali pako!!! Birth day zilianziaga Misri ya kale na Misri ni ya waafrica!! wao wazungu ndiyo wametuiga.Kuna upumbavu mwingi sana tunaiga iga mwanaume kusherehekea birthday
Hata kuvaa pete za ndoa mara uchumba ni kuvamia vitu tusivyovijua kwa undani, sijui hata ni utamaduni wa jamii ilianza kuvaa pete sisi tunakurupukia tu unaweza kujikuta unaabudu mashetani bila kujua
Kwani uongo??? aitoe wapi huyo mwana kijiji kwanza!! hata wanakijiji wenzago hawaijui, watakuona jizi maarifa tu!! yaani siyo b,day tu!! hata first day to see de sun ni sherehe tu!! hata yesu alipoondoka kwenda patakatifu pa pataka tifu ni sherehe tu!!Wanaume wa Dar watasema huna hela. [emoji1787][emoji1787]
Usiwapangie, wao waliamua iwe birth day!! lkn yako wewe ni birthdate shrehekea wewe na mkeo!!! ya watu hayakuhusu!! sasa wewe pilipili haiko shambani mwako yakuwashia nini??Kwanza kuna makosa makubwa, wengi wanasherehekea au kukumbuka tarehe ya kuzaliwa (birthdate) lakini wanaiita siku ya kuzaliwa (birthday). A birthdate is not a birthday!
Siku (days) ziko saba tu ambazo tunazaliwa ndani yake. Yeyote yule huzaliwa kati ya Jumatatu, Jumanne hadi Jumapili. Wakati tarehe (dates) zinaanzia 1 hadi 28, 29, 30 au 31 kulingana na ufupi au urefu wa mwezi husika.
Mathalani, aliyezaliwa Jumapili, Januari Mosi, 1967; siku yake ya kuzaliwa (birthday) ni Jumapili. Tarehe yake ya kuzaliwa (birthdate) ni Januari Mosi. Ila kuna miaka ambayo birthday (siku ya kuzaliwa) itagongana na birthdate (tarehe ya kuzaliwa).
Hata hivyo, kufurahia kufikisha idadi ya miaka kadhaa ni jambo jema na la kumshukuru Mungu.
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Simpangii mtu, na kama umesoma vizuri sikatazi watu wasisherehekee. Ila wajue kuwa siku ya kuzaliwa (birthday) ni tofauti na tarehe ya kuzaliwa (birthdate). Soma kwa makini bandiko langu, watu watamke ilivyosahihi, sisemi wasisherehekee!!!Usiwapangie, wao waliamua iwe birth day!! lkn yako wewe ni birthdate shrehekea wewe na mkeo!!! ya watu hayakuhusu!! sasa wewe pilipili haiko shambani mwako yakuwashia nini??
huko mkoani maskini hamjui hata sikukuu zaMashujaa, uhuru, kuzaliwa kwa chama, kamwe hamsherekei, bali ni Musoma mjini na DSM baasi! BONGO DARISALAMA WEEE! nimeku miss!!! viburudisho mpaka mtaani jamani weee
Yaani huko njombe mwaka mpya sijui krismas mweee!! hawajawahi kivijua uiii!! sasa mnaanza kuchokonoa vya mjini hamtuwezi nyie wankijiji mtasubili sana.....''Dooodomaaa wanaenda na kurudi enheee!!'' unamjua alie imba hivi?? unadhani kwa nini....
Hujanielewa!!!Simpangii mtu, na kama umesoma vizuri sikatazi watu wasisherehekee. Ila wajue kuwa siku ya kuzaliwa (birthday) ni tofauti na tarehe ya kuzaliwa (birthdate). Soma kwa makini bandiko langu, watu watamke ilivyosahihi, sisemi wasisherehekee!!!
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
kuna thread nilieleza kitambo kidogo wayback 2018 nadhaniKwanza kuna makosa makubwa, wengi wanasherehekea au kukumbuka tarehe ya kuzaliwa (birthdate) lakini wanaiita siku ya kuzaliwa (birthday). A birthdate is not a birthday!
Siku (days) ziko saba tu ambazo tunazaliwa ndani yake. Yeyote yule huzaliwa kati ya Jumatatu, Jumanne hadi Jumapili. Wakati tarehe (dates) zinaanzia 1 hadi 28, 29, 30 au 31 kulingana na ufupi au urefu wa mwezi husika.
Mathalani, aliyezaliwa Jumapili, Januari Mosi, 1967; siku yake ya kuzaliwa (birthday) ni Jumapili. Tarehe yake ya kuzaliwa (birthdate) ni Januari Mosi. Ila kuna miaka ambayo birthday (siku ya kuzaliwa) itagongana na birthdate (tarehe ya kuzaliwa).
Hata hivyo, kufurahia kufikisha idadi ya miaka kadhaa ni jambo jema na la kumshukuru Mungu.
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app