Nimegundua kuwa nilikurupuka kuoa

Yeye ndio breadwinner nini?
Mana Mimi sioni ni wapi Mwanamke atatoa guts za Kuonesha Ile Tabia Ile Hali Mimi ndio Master Ndani!!

Hapo Mawili ni either huyo Mwanamke kakuzidi kipato Ivo kumcontrol ni kisanga na best option hapo ni Moja Tu

ACHANA NAE, Narudia LEAVE HER mana any attempt to correct will drag you into chaos and Messy
 
Bed to Bed Midfilder…😁

Box to Box Midfielder kama kina Kante, Lampard, Ballack, Essien…

Ukishaona mtu anakuja kuomba ushauri huku kwenye mambo haya, ujue keshashikwa na hana guts za kuachana na mwanamke. Too sad!
 
Mawazo Yangu Nioneee....
 
Pole sana. Bado hujaona. Hadi unakuja kuomba ushauri humu Ina mana wewe Huwezi kumuacha..ushauri wa bure nenda haraka mahakamani kaanze process za talaka , ulivyonavyo kama viko kwa jina LAKO uza mgawane...kimbia okoa maisha yako. TENA kama hamna mtoto ndio PONA yako hio ..utakuja kunikumbuka.
 
Miezi 6 tu unaomba ushauri? Hii ndoa bado haina mizizi ni ya kung'oa tuu.
 
Kwishnei hapo mdau, siyo wako tena. FANYA MAAMUZI MAGUMU KABLA HAMJAATHIRIANA!
BWAGA TENA HARAKA SANA SANA!
 
I really feels sorry for you, but remember that, You are not alone..!

Nahisi wengi sana wanaishi kwenye ndoa sio kwa kupendana ila kwa kuvumiliana tu, au ili kulea watoto pamoja sheikh
 
I really feels sorry for you, but remember that, You are not alone..!

Nahisi wengi sana wanaishi kwenye ndoa sio kwa kupendana ila kwa kuvumiliana tu, au ili kulea watoto pamoja
Haujakurupuka amekudanganya, it’s not entirely your fault. Hakuna mwenye kinga ya kutokudanganywa kwasababu watu wengi ni waigizaji, kwahiyo usijutie.

Fanya maamuzi mapema.
Very True
 
Ushauri kama mdau mmoja hapo kasema ebu mpe break fupi ya kujifunza maisha ni nini?

Hii kwanza ni advertise kwamba unaweza kumuacha muda wowote ule,kama ni muislamu kisheria mtenge kwa miezi minne,ingawa hii inakuja baada ya njia kadhaa kupita kama kumkanya,kuongea nae na pande zote mbili kwa ndugu kutoka kwao na kutoka kwenu, sasa kama haelewi au habadiliki ndio unampa break ya miezi minne,ajipime na kuona je ndoa ni muhimu kwake au laa!

Ila usiharakoshe kutoa talaka,mpe likizo na kumuonyesha kwamba unaweza kuishi bila yeye na asipojirekebisha utaenda step moja zaidi na kumalizana nae
 
Piga shaba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…