Nimegundua kuwa nilikurupuka kuoa

Sasa unataka awe home kufanyaje yaani wewe unatakaje niambie Rich Pol kwa maana kama hana kazi basi mkalishe mwambie hupendi hataki basi muolee mke mwingine ili atulie . Manaa ukihangaika namtu mzima nayo ni changamoto sana .
Amevuka 18
Hana ukichaa
Amefundwa
Anajua ni mke wa mtu ulitaka tukushaurije maana kama wewe hujui chakufanya na unaishi naye je sisi ambaye hatumjui .
Ila ushauri wangu mzuri mtafute fahari media amchunguze na amtaje mwanaume anayempenda na anamalengo naye na kama atakutaja mwambie amuulize kwanini anafanya hivyoo.
Hii ndio nzuri
 
Ndoa ya msikitini au kanisani mkuu?
Je umri wake?
 
Aisee Kazi ipo
 
He mkeo ana umri wa miaka mingapi?
Je ulimwoa tokea kwao (baba na mama) au alitokea ghetto?
Je ulifuata taratibu sahihi za kijamii wakati wa kuoa?

Majibu ya maswali ni muhimu
 
Asante sana mkuu kwa ushauri wako
 
Asante sana mkuu kwa ushauri wako
 
Na huu ni ujumbe mchungu kwetu
 
Mwanamke akiisha fikia hatua ya kutokusikiliza ina maana Kuna dharau ndani yake na usije jidanganya kuwa ipo siku utambadilisha labda aamue yeye mwenyewe kubadilika........kwa kifupi hapo chukua maamuzi kuvumilia dharau au upige chini ni hayo tu.
 
Mimi nakushauri tu amani ya moyo ni muhimu kuliko kuwa na mfadhahiko,usiangalie jamii itakuchukiaje jiangalie ww.
Mapenzi yanaua,chukua hatua.Duniani tuna pita.
 
Leta picha za harusi kwanza, tufanye uchambuzi!
 
Dawa yake ndogo sana hyo nipe namba yake uone kama hajajirekebisha
 
Ni mwanamke asietulia nyumbani, ana magroup ambao yana jinsia zote yaani wana kijiwe chao, zamani alikuwa anaaga kwanza kabla ya kutoka nyumbani ila kwasasa haagi kabisa, pia hana mawasiliano na mimi mpaka nimtafute.
Hii tabia ni ya wanawake Malaya, kwa hio umeoa Malaya at your own risk ishi nae kiume na ukimbananisha jibu la mwisho tuachane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…