Nimegundua kuwa nilikurupuka kuoa

Cha muhimu hakikisha muda wote umeshiba yani kula ushibe, hata kama ukipigwa chini uwe umeshiba
 
Unaenjoy nini, mtu ameliwa tokea shule ya msingi mpk chuo, wewe unachukua unafungia ndani umepata mke ,halafu unasema unaenjoy. Hii ni tapeli kama tapeli zingine
Wewe kama unateseka na mapenzi endelea kuteseka ila nakuambia kuna watu wanaenjoy sana ndoa zao
 
He mkeo ana umri wa miaka mingapi?
Je ulimwoa tokea kwao (baba na mama) au alitokea ghetto?
Je ulifuata taratibu sahihi za kijamii wakati wa kuoa?

Majibu ya maswali ni muhimu
Mpaka sasa hakuna majibu.
Hii inawezekana mhuni mmoja amewahi kituo cha polisi kumstaki mhuni mwenzake
 
Najiuliza je amepata mbadala wangu au marafiki zake wanamuweka busy mpaka ananisahau?
Naomba ushauri nichukue maamuzi gani?
Wanawake wengi wao ni Malay..a huingia kwenye ndoa ili kufanya umalay..a wao kwa uhuru. Katika kitu wanaume tume patikana ni kuoa yaani kabla ya ndoa huwa huru na furaha.

Lakini baada ya ndoa unabaki na hasira, majukumu na ugomvi na Ndugu na marafiki unao sababishwa na huyo mke.
 
Asipoelewa hapa ndo basi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…