Nimegundua kuwa umri hauna maana yoyote kwenye mapenzi

Nimegundua kuwa umri hauna maana yoyote kwenye mapenzi

Unahitaji akili kuliko hisia, otherwise utapigwa na kitu kizito
 
My girl ako na 40 now ila tukiwa pamoja au chatting zetu kama vijana wa20's,nakapenda sana aka kasichana maana kananipa yotee kanizid 10 😓 ko hawez nizaaa
 
Nawakumbusha tu,
Mapenzi yetu yanazidi kutaradadi,
Kama ya Harmonize na Kajala,
Hii dunia haina dogo!!
[emoji3059][emoji3059]
 
Back
Top Bottom