Ila mwana we mnafki kishenzi,Ni utamaduni wa muda mrefu katika kabila la wahaya kunyoa nywele zao tena wengine kipara kabisa kama watu wafuatao wakifiwa
Mjane
Watoto wa marehemu
Ndugu wa damu mtu akitaka
lakini hasahasa akiwa mkewe na ndugu yaani kaka au dada wa marehemu pale mda wa kuanua matanga unapokwisha
Turudi Kwa Nandi huyu naye amenyoa Una maana alikuwa na uhusiano gani Kwa boss Ruge? Au ni mjane wake? Aa kumbe inawezekana ikawa kweli
Pole Sana nandy Kwa kupoteza Mme wakoView attachment 1057525
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama utani vileee!!! Mtu atalika soonBillnass is just a Gallant Man !!
Kijana Shapu..aliyetoka jimbo la kishap lenye wananchi shapu shapu.
Kwa akili za mademu, hapo alicheeeeeeeka sanaaa[emoji23][emoji23][emoji23] kisha ,,,,,, akamfata inbobo Convo yao ikawa ivi
Nandy [emoji117] ""Wee msengee nmemis kweli masiala yako, embu fanya nije nikuone basi nyau wangu ""
Bill[emoji117][emoji23][emoji23][emoji23]manina zako hapo minyege tu ndo umekushika saizi , et umenimis [emoji1] sema umemis mboooo
Nandy[emoji117]hahahahahah hahahahah uwiiiiii mbavu zanguu hahahahaha embu niache mie najonzi yangu hahahahahaha .
Nandy tena[emoji117] Ila sure bana boy nmekumis kinyamanyama
Bill[emoji117][emoji120] asante naelewa, basi wee ukiwa poa utanicheki tu muda wowote .
Nandy[emoji117]Ok thanks , ngoja nifanye kuwajibu wana kwanza then nitarudi tuendele.
Bill[emoji117]poaaaaa[emoji109][emoji137]
KWA UFUPI Nandy ni km madem wengine tuu. Na Billnass ni.wasanii wengine tu.
Infact wanawake ni watu waajabu sana, wagumu kuelewa ,wepesi kusahau.
"Dume la Nyani haliogopi Umande"
Hahahha ndo ivo mkuu ,hawa wanawake niwengi wa utan sanaKama utani vileee!!! Mtu atalika soon
Ndo maana jf kuna forum nyingi .huwezi nipangia nipost wap na MDA gani hii ni celebrity forum .forum za maendeleo zipo huko nenda kachangie kuliko kuja huku kupost pumbaIla mwana we mnafki kishenzi,
Sa nywele zake zakuhusu nini..[emoji23][emoji23][emoji23]
Embu fanya ishu za maendelea Bhanaaaaa wacha umbea kwa ishu ata zisizo na msingi.
Huchelewi kutuambia kanyoa na v*z* pia ili sijui nn
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulee usemi mtanzania mpe picha hadithi atatunga mwenyewe nimeamini.
Hahahahaha mwandishi alibugi !!!Hahahahahaha ila hapo mwishoni umeharibu, mwanamke huwa hasahau...