Nimegundua kwamba jirani yangu mchicha mwiba

mtafuta-maisha

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
1,982
Reaction score
2,931
Kweli dunia imechoka.
Hapa ninapoishi kuna apartments tano zote ndani ya gate moja lakini kila moja ikijitegemea kwa kila kitu.

Hivyo kutokana na kila moja kujitegemea hakuna muingiliano jambo linalo tufanya hata tusizoeane maana kila mtu ana mambo yake na muda mwingi kila mtu yuko ndani kwake ama kwenye mishe zake.

Sasa recently kuna jamaa aliondoka so akahamia jamaa flani hivi kapanda mrefu mtu wa mazoezi na mtanashati.

Kama kawaida tukawa hatuna mazoea zaidi ya salamu basi kila mtu ana mambo yake na saa nyingibe unaweza pita hata mwezi hatujaonana.

Nakumbuka siku moja luku yangu iliisha units usiku nikawa nahangaika kununua kwa voda sijibiwi yeye alikuwa nje akaninunulia kwa simu yake line ya tigo na toka siku hiyo tukazoeana kawaida.

Kuna siku usiku niko ndani mara naskia mtu anagonga mlango, kufungua nakuta ni yeye kalewa ana heshima za kilevi samahani nyingi.

Akaniambia bro nimekuletea zawadi. Nikamkaribisha ndani akauliza unakunywa pombe nikamwambia siyo sana kidogo tu na mara moja moja.

Akatoa john walker red label akasema nimeleta tunywe sote.
Nikaona siyo tabu japo alikuwa kalewa tukakaa sebuleni kwangu tukaanza shusha chupa taratibu.

Mimi siyo mpenzi wa vinywaji vikali hivyo nikawa nakunywa kwa kutegea so baadae mara akanisogelea akanikumbatia nkamuuliza we jamaa vipi mbona sikuelewi umelewa sana kalale.

Akasema relax samahani lakini mara nikaona analeta domo nikampush akaanguka glass yake ikapasuka na shangwe likaishia hapo nikamwambia akalale na mimi nikaenda lala zangu.

Nilitafakari jambo hilo sana ila nikahisi huenda ni pombe zilimzidia maana aliniambia kabla ya kurudi alikuwa kanywa chupa mbili za black label.

Sikumwambia mtu na hilo tukio nikalifuta kichwani mwangu.
Sasa juzi kuna dogo flani uwa anakuja hapa kwangu wamefahamiana na jamaa na kuna siku akimuita kwake siku ya christmas usku mimi wakati nimelala wao walikuwa kwa jamaa wanapiga ulabu so design wamekuwa marafiki pia.

Sasa juzi nikawa napiga story na yule dogo katika story nikamwambia kuna siku jamaa alifanya hivi na hivi, dogo akaniambia bro hata mimi nilitaka nikwambie yule jamaa hayuko sawa ana element flani sizielewi siku tunapiga ulabu alikuwa ananisugua miguu yangy kwa miguu yake, mara anishikr vidole atakuwa mchicha mwiba yule.

Mimi nikamwambia sitaki kuamini aisee maana jamaa miraba minne halafu mtu wa mazoezi story zake za kuwapanda mabinti tu.

Akasema kweli nakwambia bro na nitaprove kama kweli jamaa mchicha mwiba.
Na kweli usku wake akaja na janzel, kanigongea jirani njoo tupige mambo.

Mimi nikamwambia aisee kwa leo hapana mimi nikinywa pombe mpaka upite muda hata miezi miwili ndio ninywe tena dogo alikuwepo nikamwambia dogo nenda naye.
Wakaenda kwake wakaanza piga ulabu mpaka saa tisa ndipo naskia dogo anafungua mlango anarudi kulala.

Kesho yake asubuhu yani jana, dogo ananiambia jirani yako punga bro nimeprove.
Nikamuuliza kwani vipi akaniambia alianza nishika akanikiss namimi ni ka act niko ok nione mwisho wake, nikawa namshika kiuno mara mgongo akanipa blow job bro baadae akataka nimwingilie nikagoma akaniahidi atanipa sihyi ela simu tv nikamwambia next time.

Aisee nilipigwa butwaa jamaa huwezi mfikiria kwanza ana demu wake mzuri alinionyesha picha zake kwenye simu, pili ana mtoto na tatu naskia mabinti hapa mtaani wanampenda sana.

Toka dogo kaniambia na akanionyesha sms jamaa alimtxt akimwambia aije thubutu niambia ibaki siri baina yao.

Jamaa sitaki hata kumwona mazoea naye sitaki kabisa, na huyu dogo naye ujasiri wake umentisha hadi anatulia dume linampa blow job hata kama ni research imepitiliza naye natafuta jinsi aache kuja kwangu maana inaelekea ahadi za jamaa kama zimemwingia kichwani vile.

Madada poleni sana maana wanaume wanazidi kuisha yani huwezi jua jamaa kama shoga kuanzia umbo lake muonekano wake na mazoezi anayopiga.
 
Mimi nikamwambia aisee kwa leo hapana mimi nikinywa pombe mpaka upite muda hata miezi miwili ndio ninywe tena dogo likuwepo nikamwambia dogo nenda naye.
Wakaenda kwake wakaanza piga ulabu mpaka saa tisa ndipo naskia dogo anafungua mlango anarudi kulala.
Kesho yake asubuhu yani jana, dogo ananiambia jirani yako punga bro nimeprove.
Nikamuuliza kwani vipi akaniambia alianza nishika akanikiss namimi ni ka act niko ok nione mwisho wake, nikawa namshika kiuno mara mgongo akanipa blow job bro baadae akataka nimwingilie nikagoma akaniahidi atanipa sihyi ela simu tv nikamwambia next time.
Aisee nilipigwa butwaa jamaa huwezi mfikiria kwanza ana demu wake mzuri alinionyesha picha zake kwenye simu, pili ana mtoto na tatu naskia mabinti hapa mtaani wanampenda sana.
Toka dogo kaniambia na akanionyesha sms jamaa alimtxt akimwambia aije thubutu niambia ibaki siri baina yao.
Jamaa sitaki hata kumwona mazoea naye sitaki kabisa, na huyu dogo naye ujasiri wake umentisha hadi anatulia dume linampa blow job hata kama ni research imepitiliza naye natafuta jinsi aache kuja kwangu maana inaelekea ahadi za jamaa kama zimemwingia kichwani vile.
Madada poleni sana maana wanaume wanazidi kuisha yani huwezi jua jamaa kama shoga kuanzia umbo lake muonekano wake na mazoezi anayopiga.
Mkuu kuwa naye mbali anaweza kukugeukia akakutafuna kibabe
 
Ndo maana sihongi
Yaani msichana nimfurahishe kitandan
Anisumbue aje nimfrahishe ata siku nisiyojiskia afu nimpe na hella Duh!!
Ukiangalia wanaume kamili na jasiri tuko wachache,wengi wanamatatizo yao
Huu mwaka 2018 sihongi
 
Ndo maana mazoea ya fastafasta mi siyapendi

Kuna siku nimeenda zangu uwanjan kutulia(UD) baada ya mda flanflan hv akaja bwana mdogo flan hv lainlain flan hv nae anasoma apa chuo kunambia nimpigepige picha
Asee ayo mapozi sasa ya kupiga picha nilichoka, serious mwanaume unapiga picha unainama duh!!
Baada ya apo akawa ananiulizauliza maswalamaswala mengimengi nikamwambia mi sisomi apa ili kutoa uzoefu wa harakaharaka
Baadae anataka kuondoka akaniomba namba
Frsh nikampa
Baada ya apo goodnytgudnyt nyingi na kunitaftatafta kwingi2. Na profile pic za ajabajab2
Siku ananipigia ananambia yuko pekeake niendepo kwake, duh!
 
Back
Top Bottom