Chris14
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 3,076
- 2,181
Wapo, inasikitisha kweli.Mmh. Inasikitisha sana.
Ila huwa nasikia wengine wana hadi wake na watoto huku upande wa pili ni mapun*a.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo, inasikitisha kweli.Mmh. Inasikitisha sana.
Ila huwa nasikia wengine wana hadi wake na watoto huku upande wa pili ni mapun*a.
hah ha ha haaaaNdo maana sihongi
Yaani msichana nimfurahishe kitandan
Anisumbue aje nimfrahishe ata siku nisiyojiskia afu nimpe na hella Duh!!
Ukiangalia wanaume kamili na jasiri tuko wachache,wengi wanamatatizo yao
Huu mwaka 2018 sihongi
Hayo ndo maaamuzi ya kiume sasaMwaka 2005 kuna jamaa mmoja nilikuwa namheshimu sana mtaani alikuwa ni ****** wa ****** wa ccm wa tawi la ****** ******. Siku moja usiku kwenye hilo tawi bahati mbaya aliniona na kuniita. Sikukataa nikamwambia ngoja nikaweke backpack yangu kwanza. Ilikuwa ni kipindi cha kampeni, hivyo kwenye hiyo branch mziki ulikuwa umehanikiza, niliporudi kumsikiliza kwanza aliniita kwa majina yangu, nilishangaa sana kwa vile hakuwahi hata siku moja kuniita kwa majina yangu. Hivyo akaanza kuniambia kuwa anataka nikamgonge, nikakataa, basi unaambiwa alinipa ahadi kibao hadi za kusomeshwa na wakubwa, kipindi hicho samsung double screen ndio zilikuwa zinaingia alikuwa nayo na aliahidi kunipa lakini tu kama ningemgonga, dah, aliniahidi pale pale angenipa laki5 cash usiku ule ule lakini bado nilikataa, mwisho alitaka walau nimwachie mkuyenge tu ili anipige blow job tu lakini pia nilikataa, namshukuru Mungu kwa kunivua na mtihani ule, maana nilikuwa empty lakini sikuwa na tamaa dah ningeangamia duh. Kazi kweli kweli.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unaitakia nini hiyo namba?Mwenye uzi nipe namba za huyo mjamaa pm
Nimtafune huyo jamaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unaitakia nini hiyo namba?
Jamii forum burudani sana aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28][emoji41][emoji41]dogo kashazama kwenye Tope kakuficha tu
Kwani wewe mende mkuu??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28]Nimtafune huyo jamaa
Mkuu hawa ma Bajuun sio watu wazuri[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Kwani wewe mende mkuu??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28]
Duh.!!!Kweli dunia imechoka.
Hapa ninapoishi kuna apartments tano zote ndani ya gate moja lakini kila moja ikijitegemea kwa kila kitu.
Hivyo kutokana na kila moja kujitegemea hakuna muingiliano jambo linalo tufanya hata tusizoeane maana kila mtu ana mambo yake na muda mwingi kila mtu yuko ndani kwake ama kwenye mishe zake.
Sasa recently kuna jamaa aliondoka so akahamia jamaa flani hivi kapanda mrefu mtu wa mazoezi na mtanashati.
Kama kawaida tukawa hatuna mazoea zaidi ya salamu basi kila mtu ana mambo yake na saa nyingibe unaweza pita hata mwezi hatujaonana.
Nakumbuka siku moja luku yangu iliisha units usiku nikawa nahangaika kununua kwa voda sijibiwi yeye alikuwa nje akaninunulia kwa simu yake line ya tigo na toka siku hiyo tukazoeana kawaida.
Kuna siku usiku niko ndani mara naskia mtu anagonga mlango, kufungua nakuta ni yeye kalewa ana heshima za kilevi samahani nyingi.
Akaniambia bro nimekuletea zawadi. Nikamkaribisha ndani akauliza unakunywa pombe nikamwambia siyo sana kidogo tu na mara moja moja.
Akatoa john walker red label akasema nimeleta tunywe sote.
Nikaona siyo tabu japo alikuwa kalewa tukakaa sebuleni kwangu tukaanza shusha chupa taratibu.
Mimi siyo mpenzi wa vinywaji vikali hivyo nikawa nakunywa kwa kutegea so baadae mara akanisogelea akanikumbatia nkamuuliza we jamaa vipi mbona sikuelewi umelewa sana kalale.
Akasema relax samahani lakini mara nikaona analeta domo nikampush akaanguka glass yake ikapasuka na shangwe likaishia hapo nikamwambia akalale na mimi nikaenda lala zangu.
Nilitafakari jambo hilo sana ila nikahisi huenda ni pombe zilimzidia maana aliniambia kabla ya kurudi alikuwa kanywa chupa mbili za black label.
Sikumwambia mtu na hilo tukio nikalifuta kichwani mwangu.
Sasa juzi kuna dogo flani uwa anakuja hapa kwangu wamefahamiana na jamaa na kuna siku akimuita kwake siku ya christmas usku mimi wakati nimelala wao walikuwa kwa jamaa wanapiga ulabu so design wamekuwa marafiki pia.
Sasa juzi nikawa napiga story na yule dogo katika story nikamwambia kuna siku jamaa alifanya hivi na hivi, dogo akaniambia bro hata mimi nilitaka nikwambie yule jamaa hayuko sawa ana element flani sizielewi siku tunapiga ulabu alikuwa ananisugua miguu yangy kwa miguu yake, mara anishikr vidole atakuwa mchicha mwiba yule.
Mimi nikamwambia sitaki kuamini aisee maana jamaa miraba minne halafu mtu wa mazoezi story zake za kuwapanda mabinti tu.
Akasema kweli nakwambia bro na nitaprove kama kweli jamaa mchicha mwiba.
Na kweli usku wake akaja na janzel, kanigongea jirani njoo tupige mambo.
Mimi nikamwambia aisee kwa leo hapana mimi nikinywa pombe mpaka upite muda hata miezi miwili ndio ninywe tena dogo alikuwepo nikamwambia dogo nenda naye.
Wakaenda kwake wakaanza piga ulabu mpaka saa tisa ndipo naskia dogo anafungua mlango anarudi kulala.
Kesho yake asubuhu yani jana, dogo ananiambia jirani yako punga bro nimeprove.
Nikamuuliza kwani vipi akaniambia alianza nishika akanikiss namimi ni ka act niko ok nione mwisho wake, nikawa namshika kiuno mara mgongo akanipa blow job bro baadae akataka nimwingilie nikagoma akaniahidi atanipa sihyi ela simu tv nikamwambia next time.
Aisee nilipigwa butwaa jamaa huwezi mfikiria kwanza ana demu wake mzuri alinionyesha picha zake kwenye simu, pili ana mtoto na tatu naskia mabinti hapa mtaani wanampenda sana.
Toka dogo kaniambia na akanionyesha sms jamaa alimtxt akimwambia aije thubutu niambia ibaki siri baina yao.
Jamaa sitaki hata kumwona mazoea naye sitaki kabisa, na huyu dogo naye ujasiri wake umentisha hadi anatulia dume linampa blow job hata kama ni research imepitiliza naye natafuta jinsi aache kuja kwangu maana inaelekea ahadi za jamaa kama zimemwingia kichwani vile.
Madada poleni sana maana wanaume wanazidi kuisha yani huwezi jua jamaa kama shoga kuanzia umbo lake muonekano wake na mazoezi anayopiga.
Wewe nawe mchicha mwiba tu,ulilazimishwa kutoa valid contact?Ndo maana mazoea ya fastafasta mi siyapendi
Kuna siku nimeenda zangu uwanjan kutulia(UD) baada ya mda flanflan hv akaja bwana mdogo flan hv lainlain flan hv nae anasoma apa chuo kunambia nimpigepige picha
Asee ayo mapozi sasa ya kupiga picha nilichoka, serious mwanaume unapiga picha unainama duh!!
Baada ya apo akawa ananiulizauliza maswalamaswala mengimengi nikamwambia mi sisomi apa ili kutoa uzoefu wa harakaharaka
Baadae anataka kuondoka akaniomba namba
Frsh nikampa
Baada ya apo goodnytgudnyt nyingi na kunitaftatafta kwingi2. Na profile pic za ajabajab2
Siku ananipigia ananambia yuko pekeake niendepo kwake, duh!
JF greater thinkers like you is only me,limenikwaza sana hili litoa uzi maana lina uongo wa kindergarten kabisa.Hadithi tu hizi za kujipa kiki!!
Ninaweza kuamini kuwa umei -fabricate hii hadithi ili kujipa utakatifu na ujiko kuwa ulitongozwa ukanyofoa.
Possibly wewe ndio huyo dogo, ukapewa blow job ukapiga blah blah hapo ukakwepesha kwepesha.
NATAKA NIKUTHIBITISHIE KUWA WEWE NI MNAFIKI NA SHETANI...
Nifuate hapa.....
Umesema "dogo" anatumia simu ya tochi na aliahidiwa kununuliwa smartphone, sio?
Ukasema ulisikia maongezi ya VOICE NOTE (a WhatsApp feature) jinsi dogo alivyokuwa anabembelezwa na huyo "jamaa" na ukasema maongezi yao yalikuwa disgusting, na ukafedheheka, sio?
Simu ya torch ina uwezo wa kurekodi voice note?
Wewe ni muongo na mlawiti.
Umemlawiti na nafsi ikakusuta ukaanza kutengeneza wahusika wa kufikirika.
Don't worry, you are not gay, ulikuwa unajifunza tu na usirudie.
Fact! the guy sounds like he's on denial..umemchana na ukamtuliza asiogope..haha! cheersZile wanaita Slumber party , wana gongana sana hivyo vi teenager vilivyo balehe wanzana wo kwa wao kwanza
Sisi wengine ni wajanja sana tunajua kuwasoma watu, kwa maelezo yako pekee umeshajionyesha your personality na tumeshaisoma , unajua una ficha kitu, umeweza weka viashiria vinavyo kuwepo kwa mtu pale anapo kua gay au bisexual wa siri hata kama una mwanamke nina amini ni wa pambo tuu kukufuchia siri yako . labda nikueleze tuu ,kwa mwanaume straight hawezi react kama ulivyo react na pia hawezi kuwa opend na dogo anaye kuja mtembelea na kumruhusu kwenda kwa jirani na kunyonywa uume na kuja kuku hadithia, something is not right here .lakini kumbuka being gay sio jambo la kushangaza most ya binadamu ni bixesuals kwa hiyo usije jiogopa au jaribu ji defend hapa kwa kutumia nguvu sana kwani wengi wanao soma hii ni utakuta ni bisexual vile vile kwahiyo your not alone .usigope.
Verified bwabwa.Kama vipi waacheni wapate gratification zao na fantasy , kama ana fanya kazi ana saidie uchumi wa nchi na an timiza wajibu wake kwa demu wake na anampango wakuo na kuzaa watoto .. Cha ajabu ni kipi??
Mbona kuna wanaume wanao vizuri ila mapungufu yao ni kutembe na wana wake wa nje kila siku tena wana tembe na wake wa watu na kufarakanisha ndo zingine .. Hawa hawafanyi zambi??
Au hawazini?? Ukiwa shoga zambi ukiwa malaya nje ya ndoa zambi so zote zambi mwacheni mungu anajua atawafanyaje..
Acheni kuhukumu wakati kuna wengine mmnafanya yakumuuzi mungu kuliko hata huyo Gay.. Mwacheni na mapungufu yake na mungu wake.. Pambaneni na halizenu maisha ya ende..
Nenda waptrickBlow job ndo nini
Somtyms unashangaa vi2 lkn unakuwa huna uhakika zaidWewe nawe mchicha mwiba tu,ulilazimishwa kutoa valid contact?