DOCTOR UZI
Member
- Apr 28, 2020
- 99
- 79
Nimeamka zangu asubuhi nikala mihogo ya kuchemsha na chai ,baada ya muda kidogo maza angu mmoja hivi ninae kaa naye akaweka kisamvu jikoni .
Kuja kufatilia kumbe majani ya kisamvu yanatoka kwenye muhogo.
Kiufupi leo nimekula majani na mizizi ya muogo.
Kuja kufatilia kumbe majani ya kisamvu yanatoka kwenye muhogo.
Kiufupi leo nimekula majani na mizizi ya muogo.