Nimegundua leo kuwa kisamvu ni majani ya mti wa Muhogo

Nimeamka zangu asubuhi nikala mihogo ya kuchemsha na chai ,baada ya muda kidogo maza angu mmoja hivi ninae kaa naye akaweka kisamvu jikoni .

Kuja kufatilia kumbe majani ya kisamvu yanatoka kwenye muhogo.

Kiufupi leo nimekula majani na mizizi ya muogo.
Hapo ukute unapata na Mkopo wa kusoma hiyo BA Kiswahili Hapo TEKKU. Lakini unachowaza pumba tu
 
Nimeamka zangu asubuhi nikala mihogo ya kuchemsha na chai ,baada ya muda kidogo maza angu mmoja hivi ninae kaa naye akaweka kisamvu jikoni .

Kuja kufatilia kumbe majani ya kisamvu yanatoka kwenye muhogo.

Kiufupi leo nimekula majani na mizizi ya muogo.
Sio majani ya mhogo ila mpira (jamii inayofanana na mhogo)
 
[emoji23] kama ungekufa na Corona hiyo ingepita kushoto
 
Nimeamka zangu asubuhi nikala mihogo ya kuchemsha na chai ,baada ya muda kidogo maza angu mmoja hivi ninae kaa naye akaweka kisamvu jikoni .

Kuja kufatilia kumbe majani ya kisamvu yanatoka kwenye muhogo.

Kiufupi leo nimekula majani na mizizi ya muogo.
Aya ya mwisho inatia shaka. Kuna harufu ya kufunua sketi mbili asubuhi yote hii......mnh....!!!!!
 
Happ ukute unapata na Mkopo wa kusoma hiyo BA Kiswahili Hapo TEKKU. Lakini unachowaza pumba tu
Hahaha Nilivyosoma tu coment nka scroll up tayari nilisha hisi huyo ni Joshua, mkuu teku wamekufanyaje au kuna ka msela ka teku kalikumbombea Demu wako nini hii si mara ya kwanza nakuona una attack teku na chuo fulani cha Morogoro
 
Nimeamka zangu asubuhi nikala mihogo ya kuchemsha na chai ,baada ya muda kidogo maza angu mmoja hivi ninae kaa naye akaweka kisamvu jikoni .

Kuja kufatilia kumbe majani ya kisamvu yanatoka kwenye muhogo.

Kiufupi leo nimekula majani na mizizi ya muogo.
Majani ya mhogo kisamvu chake hunukia vizuri ila mpira ni kama maji tu
 
Kuna kisamvu cha majani ya mti wa muhogo na kisamvu cha mpira. Utofauti wake ni upana wa majani ila taste ni ile ile.
 
Back
Top Bottom