DOCTOR UZI
Member
- Apr 28, 2020
- 99
- 79
Hapo ukute unapata na Mkopo wa kusoma hiyo BA Kiswahili Hapo TEKKU. Lakini unachowaza pumba tuNimeamka zangu asubuhi nikala mihogo ya kuchemsha na chai ,baada ya muda kidogo maza angu mmoja hivi ninae kaa naye akaweka kisamvu jikoni .
Kuja kufatilia kumbe majani ya kisamvu yanatoka kwenye muhogo.
Kiufupi leo nimekula majani na mizizi ya muogo.
Nipo kwenye stage ya kuulipa mkuuHapp ukute unapata na Mkopo wa kusoma hiyo BA Kiswahili Hapo TEKKU. Lakini unachowaza pumba tu
Sio majani ya mhogo ila mpira (jamii inayofanana na mhogo)Nimeamka zangu asubuhi nikala mihogo ya kuchemsha na chai ,baada ya muda kidogo maza angu mmoja hivi ninae kaa naye akaweka kisamvu jikoni .
Kuja kufatilia kumbe majani ya kisamvu yanatoka kwenye muhogo.
Kiufupi leo nimekula majani na mizizi ya muogo.
Kipo kisamvu kama kisamvu, pia hicho kama mpira kipo na majani ya mihogo pia nayo hupikwa kama kisamvu na kama hujui kutofautisha ni ngumuSio majani ya mhogo ila mpira (jamii inayofanana na mhogo)
Aya ya mwisho inatia shaka. Kuna harufu ya kufunua sketi mbili asubuhi yote hii......mnh....!!!!!Nimeamka zangu asubuhi nikala mihogo ya kuchemsha na chai ,baada ya muda kidogo maza angu mmoja hivi ninae kaa naye akaweka kisamvu jikoni .
Kuja kufatilia kumbe majani ya kisamvu yanatoka kwenye muhogo.
Kiufupi leo nimekula majani na mizizi ya muogo.
Hahaha Nilivyosoma tu coment nka scroll up tayari nilisha hisi huyo ni Joshua, mkuu teku wamekufanyaje au kuna ka msela ka teku kalikumbombea Demu wako nini hii si mara ya kwanza nakuona una attack teku na chuo fulani cha MorogoroHapp ukute unapata na Mkopo wa kusoma hiyo BA Kiswahili Hapo TEKKU. Lakini unachowaza pumba tu
Aya ya mwisho inatia shaka. Kuna harufu ya kufunua sketi mbili asubuhi yote hii......mnh....!!!!!
Majani ya mhogo kisamvu chake hunukia vizuri ila mpira ni kama maji tuNimeamka zangu asubuhi nikala mihogo ya kuchemsha na chai ,baada ya muda kidogo maza angu mmoja hivi ninae kaa naye akaweka kisamvu jikoni .
Kuja kufatilia kumbe majani ya kisamvu yanatoka kwenye muhogo.
Kiufupi leo nimekula majani na mizizi ya muogo.
Hapo ukute unapata na Mkopo wa kusoma hiyo BA Kiswahili Hapo TEKKU. Lakini unachowaza pumba tu