Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh wewe unaujua ubaharia kweli?Dunia iko kasi sana, zamani baharia ilikuwa mtu wa kuhudumu kwenye Meli, ila sasa baharia ni mtu wa kuzama chumvini inahuzunisha sana, yatatokea magonjwa ya koo mengi na kinywa kwa ubaharia wa vijana wa kisasa
Mkuu ungewashauri wavae kondom mdomoni wakati wa kuzama huko chumviniDunia iko kasi sana, zamani baharia ilikuwa mtu wa kuhudumu kwenye Meli, ila sasa baharia ni mtu wa kuzama chumvini inahuzunisha sana, yatatokea magonjwa ya koo mengi na kinywa kwa ubaharia wa vijana wa kisasa
[emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahahEbu tuelimishane kidogo..
Ubaharia ni nini?
Ubaharia ni gari aina ya harrier litumikalo kama uber...FULLSTOP.
UkweliKuna baharia hapa kaniamabia kuwa "baharia hazami chumvini, bali anaishi chumvini". Bado namuwaza kama aiki yake iko sawa