Nimegundua maana ya baharia

Nimegundua maana ya baharia

ThatMan

Senior Member
Joined
Jul 4, 2019
Posts
119
Reaction score
178
Dunia iko kasi sana, zamani baharia ilikuwa mtu wa kuhudumu kwenye Meli, ila sasa baharia ni mtu wa kuzama chumvini inahuzunisha sana, yatatokea magonjwa ya koo mengi na kinywa kwa ubaharia wa vijana wa kisasa
 
Mh wewe unaujua ubaharia kweli?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Dunia iko kasi sana, zamani baharia ilikuwa mtu wa kuhudumu kwenye Meli, ila sasa baharia ni mtu wa kuzama chumvini inahuzunisha sana, yatatokea magonjwa ya koo mengi na kinywa kwa ubaharia wa vijana wa kisasa
Mkuu ungewashauri wavae kondom mdomoni wakati wa kuzama huko chumvini
 
Kuna baharia hapa kaniamabia kuwa "baharia hazami chumvini, bali anaishi chumvini". Bado namuwaza kama aiki yake iko sawa
 
Ebu tuelimishane kidogo..

Ubaharia ni nini?

Ubaharia ni gari aina ya harrier litumikalo kama uber...FULLSTOP.
 
IMG-20190910-WA0013.jpg
 
Ukiachana na tafsiri ya onnisigalla hyo ndio mana ya baharia wazee wa kuzama chumvini

Inasikitisha sana iiihh ahhhaha daahhhh chchchchchichichi
 
Back
Top Bottom