Nimegundua makosa madogo ya kiuandishi katika Press Release ya leo iliyotolewa na Madam Zuhura Yunus

Andiko lina makosa,ukimpa mwalimu wangu wa chuo hapo utakuta makosa 20
 
Andiko lina makosa,ukimpa mwalimu wangu wa chuo hapo utakuta makosa 20

Ndiyo, ninakubali kuwa kwenye baadhi ya maeneo alama za uandishi hazikuzingatiwa.

Ila nilichoandika ambacho wewe ‘umereply’ ilikuwa kujibu hoja mahususi iliyolenga sentensi moja.
 
Sio kweli hata kidogo. Mtangazaji ni mwanahabari na mwanahabari kujua uandishi ni jambo muhimu.

Mkuu Kishina cha Mshahara, Salary Slip, kwanza hongera sana for having "an eye for details" yaani una jicho fulani hivi, hata sindano ikidondoka unaweza kuitafuta ukaipata. Enzi za Nyerere waalimu wa sekondari walikuwa wamepewa maelekezo wakikutana na wanafunzi wa type yako, wawaripoti ili baada tuu ya kumaliza shule wale 'jamaa zetu' wana Ku recruit, watu wa type yako husaidia sana jamii, big up for this hata humu jf, unasaidia sana tuu.

Tukija kwenye uandishi wa habari, fani rasmi ya uandishi wa habari ni Journalism, hivyo hata mtu akiwa mtangazaji, huanza kwanza kuwa mwandishi, a journalist, then ndio unakuwa broadcast journalist.

Wengi Zuhura Yunus wamemjua baada ya kuteuliwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, lakini sisi tunamfahamu tangu akiwa BBC na tumekuwa tukimshauri and she is a very positive lady hata mimi niliwahi kumpiga spana hii akiwa BBC Uchaguzi 2020 - Uongo na Upotoshaji huu wa BBC London kuhusu Tanzania kipindi hiki cha kampeni una maana gani? Sio mbinu za mabeberu? Wapi weledi wa ki-BBC? hivyo alipotimuliwa Ikulu niligopa maana..
Lakini baada ya kula shavu la Ikulu nilipoutoa ushauri huu kwakwe, asiwe bubu, Alichokifanya Gerson Msigwa, New York alipaswa akifanye Siku Zote Ikulu. Zuhura Yunus Asiwe Bubu!
she took it very positive na sasa anautekeleza, yeye sio bubu.

Sisi wenye jicho la ndani na Sikio la ndani, ukitoa ushauri kwa nia njema in good faith, hiyo nia njema inaonekana wazi.

I share with you the sentiments kuwa kuna ofisi na ofisi, afisi nyingine zinaweza kufanya hizi silly mistakes na zikavumiliwa but not ofisi yetu kuu, it has to be perfect, hata enzi za Braza niliwahi kushauri Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake! .

Pia Naamini Rais Magufuli ana washauri wazuri na anashauriwa vizuri tuu! , Ila...

P.
 
Asante sana mkuu. Naamini comment yako kama mwandishi, ilikuwa muhimu sana hapa, na bila shaka Muhusika ataona uzito wa hoja hii.

Asante sana.
 
Simtetei, ila hata mimi nimeona makosa kwenye uandishi wako.
Kwenye quote ya kwanza, dada yetu anaitwa Zuhura, siyo Zuena; na jina lilipaswa kuanza na herufi kubwa.
Kwenye quote ya pili, neno 'yaliyofuayta' lilipaswa kuwa 'yaliyofuata'.
Ni hayo tu.
Mbona hamuelewi,kasema (nami namuunga mkono),tukikosea sisi siyo shida saana.Kwanza sisi hatuna vitengo wala siyo kwamba tunafatiliwa kiofisi na watu wengine.Ndiyo maaa hata maneno ya kishikaji unaweza chomeka humu.
Wale wanaandika haya kiofisi na kumbuka taarifa hii inafatiliwa hata na watu wasiojua ligha ya kiswahili hivyo wanaweza kuhitaji kutafsiri ktk google.
Nikukumbushe 'binadamu kumla samaki siyo habari,lakini samaki akimla binadamu hata Urisi anaweza kustisha vita kwanza ili amsungue kwanza samaki huyo!'
 

Matumizi ya punctuation marks ni shida kwa baadhi ya wandishi wa habari. Obviously, huyu ni mmoja wao. Mwingine, ambaye hawezi kukosekana kwenye hiyo orodha, ni Paschal Mayalla.

Nadhani baadhi ya wandishi wa habari walipaswa kuwa watangazaji tu.
 
Kama watu wanakwapua mabilioni ya hela na hawaambiwi kitu ndio hiyo watajali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…