Nimegundua mapenzi hayanitaki, ngoja nifanye mambo mengine tu

Nimegundua mapenzi hayanitaki, ngoja nifanye mambo mengine tu

Sio lazima uolewe! Jiulize huyo atakae kukuoa nae atataka mzae kama atataka hivyo utakuwa na watoto baba tofauti? Higo ni mbaya sana muombe Mungu akupe amani ya moyo utunze watoto wako watakuwa wafariji wako wa kudumu
 
Pole sana dada, Pambana ulee watoto wako achana na mapenzi.
Wengi usababishiwa usingle mother na matapeli wa mapenzi.
 
Huyo jamaa wa 3 kuna mawili:

Huenda alikuwa anatesti mitambo kuhusu kuishi wote akaona imetick ghafla mno kastuka kuwa anapigwa.

Au ni kweli amedhamiria kuishi na wewe hivyo ameanza kukupima uvumilivu wako na reactions zako anapokuwa hakuzingatii.

Note:
Most women make no effort to keep their relationships healthy when the evil strikes , mara nyingi huendekeza lawama tu na kulalamika.
Alitumia gia ya kuoa Ili ale mzigo kiulaini
 
Mkiwa wabichi huwa mnalinga ila Mkiwa mimama kama saizi mnataka kutwisha zigo mwanaume yoyote ndohapo utaanza kusema umekosa nn kutoka Kwangu kumbe k imepauka sana ukifunua tu inacheka kama mdomo wa kambale, unawatoto umetepeta. Wewe saizi uza hata mahindi ya kuchoma kwenye barabara za lami pembezoni utafute hela ya kodi na sabuni tu
🙌🙌🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ila jamii forums ina watu asee ...mtoa mada wapotezee asee usijejiua bure
 
Back
Top Bottom