Nimegundua mapenzi hayanitaki, ngoja nifanye mambo mengine tu

Pole ila huyo mbwa aliyekuachia watoto wawili atakutafuta. Maisha sio poa
 
Sio lazima uolewe! Jiulize huyo atakae kukuoa nae atataka mzae kama atataka hivyo utakuwa na watoto baba tofauti? Higo ni mbaya sana muombe Mungu akupe amani ya moyo utunze watoto wako watakuwa wafariji wako wa kudumu
 
Pole sana dada, Pambana ulee watoto wako achana na mapenzi.
Wengi usababishiwa usingle mother na matapeli wa mapenzi.
 
Alitumia gia ya kuoa Ili ale mzigo kiulaini
 
🙌🙌🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ila jamii forums ina watu asee ...mtoa mada wapotezee asee usijejiua bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…