Nimegundua masikini wana hasira sana

Nimegundua masikini wana hasira sana

BIG THINKER

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2018
Posts
680
Reaction score
1,436
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,

Muda huu niko hapa nakunywa nimechelewa kufika sasa nimepaki gari langu nyuma ya magari ya vyombo vingine vya usafiri.

Kuna jamaa yuko anafoka anataka nitoe gari na hajui mwenye gari ni nani, anatukana tu mimi nimemwambia mhudumu akamwambie mwenye gari bado anakunywa asubiri au agonge alipe. Sasa naona kampiga kofi muhudumu!

Nasema umasikini ni mbaya sana na mimi sina mpango wa kutoka hapa kwa sasa, acha apige kelele, najua atakuwa hajala vizuri hivyo muda wowote atanyamaza baada ya kupata njaa.

Nitarudi.......
 
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza

Muda huu Niko hpa nakunywa nimechelewa kufika Sasa nimepaki gari langu nyuma ya magari ya vyombo vingine vya usafir...
Dogo acha kiburi!!!Je ukiwa tajiri kama sisi si utajisaidia barabarani mdogo wangu!!!!Be humble dunia mapito
 
Dogo acha kiburi!!!Je ukiwa tajiri kama sisi si utajisaidia barabarani mdogo wangu!!!!Be humble dunia mapito
Nelson Jacob lushasi
Tajir aliyewah kuwa masikin ndiyo anaweza kufanya hivyo.
Mm ni tajir wa kuzaliwa,
Hata hivyo nikiangalia tu jina lako sikuoni kwenye orodha yoyote ya matajir, sijui ww ni tajir wa wapi!!? Usije ukawa tajir wa maneno masikin wa pesa
 
Back
Top Bottom