Nimegundua mchumba wangu ni shoga, nifanyaje?

Nimegundua mchumba wangu ni shoga, nifanyaje?

Hahahahaha, interview inaanzia Kwa shangazi[emoji23][emoji23]
mimi shangazi simtaki.

pia nimepata wazo,ili kuokoa muda.

kwanini hiyo interview usiiendeshe wewe badala ya huyo shangazi??

tena ndio itakuwa very hot kwa sababu kwanza utamu utakuwa ni ule ule kutokana na ukaribu wenu pili ni rfiki wa bibi harusi hvyo hauta muangusha pia hata mimi ntajipanga vzr ili nisishindwe hiyo interview kwa sababu ntakuwa navuta hisia kama ndio nipo na mlengwa mwenyewe vile kumbe ni usaili tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom