Nimegundua mchumba wangu ni shoga, nifanyaje?

duuu noma kweli lakn hzi story sio uongo zipo na mm nimeona vijana wengi wake zao wanamaind waume zao ni mashoga sana ushauri hapo hakuna zaid ya kuachana naye jmaa maana tayar si mwanaume kamali kwa mkewe na weng wanaficha hii mambo lakn wang saiv machoko sana ndo wanawake wamekuwa wengi pamoja nao wanaume tunahesabika sana duuu balaa kweli hvi aahhhh cjui lkn ngoja nimuachie mungu aisee du yani mtu anapumuliwa kabsa na yy anafurahi kbsa daaah pozi limekata kweli sasa hapo wote wanawake wanawekwa na baunsa.
 
NI sheedah 🏃🏃🏃
 
Jana, nilisheherekea siku ya kuzaliwa ya Baba yangu Mzazi, tukaalika ndugu, jamaa na familia wa karibu kuja kumpongeza Mzee wetu

Katika kupika pika kule jikoni Akina mama sie, msichana mmoja akafunguka Kwa machozi mengi tukabakia na mshangao kwasababu NI Bibi harusi mtarajiwa,

Bibi Harusi: jamani Mimi nazidi kuchanganyikiwa mwenzenu, najua nimevishwa Pete j2 iliopita lakini juzi amenifuata Mesenja ofisini, akaniambia saini hapa nikasaini akaondoka..

Kufungua na kuangalia nakuta picha za mchumba wangu, anafanya Mapenzi na mwanaume mwenzake, tena anachekeleeea kabisa.

Nilitapika pale pale, sikula siku 3 nimelia Sana, sijamwuliza mpaka sasa mchumbangu, akipiga simu naongea nae kama hamna kitu, akitaka tuonane namkwepa namwambia corona mpaka leo Birthday ya Babu, nimeona nisipoongea ntakufa[emoji1784][emoji856][emoji855]

Nifanyaje?! Mume wangu mtarajiwa NI Bwabwa(shoga)?!

Akatoa picha kwenye pochi akaziweka mbele yetu tukahakikisha kabisa.[emoji125][emoji125][emoji125]

Doh kweli bwana! MKWE NI Bwabwa, tena anatulizwa na jamaa amejazia kweli kweli kama wale ma bouncer wa kwenye makumbi ya starehe kama disco[emoji123]

jamani mpeni ushauri biharusi mtarajiwa, akae au atembee [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ukizoea kuleta story za kutunga, hata siku ukileta story halisi watu watajua nayo ni ya kutunga tu hakuna jipya,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha roho mbaya msaidie mwenzio wewe mwenye akili nyingi
Mungu kasema pendaneni
Yeye keshagundua je anakubaliana kuwa na mtu mwenye tabia hiyo kama anakubali aendelee kuwa naye ila kama hakubaliani aachane naye maamuzi yako mikononi mwake haitaji ushauri toka kwetu sababu hata tukimshauri bado yeye ndio mhusika mkuu kama watafunga ndoa wataenda kuishi pamoja
 
Sauwa
 
Pole sana! Katika mfumo wa maisha kuna changamoto nyingi sana! Moja kubwa ni uadui; Ni vyema kujiridhisha kabla ya kufanya maamuzi! Picha pekee haitoshi kufanya maamuzi sahihi kwenye ulimwengu wa sayansi na technolojia. Kipindi hiki unatakiwa muombe sana Mwenyezimungu akupe subira na uvumilivu. Baada ya kujiridhisha kuwa ni shoga ndipo ufanye maamuzi sahihi. Unatakiwa kuwatendea wema watoto wako kabla hujawazaa ambapo ni vyema kuwachagulia baba sahihi na mwadilifu; baba ambaye hawataona aibu kutoka naye popote na baba ambaye hana uchafu/tabia chafu mtaani!! Hivyo kwasasa unatakiwa Umshukuru Mwenyezimungu kwa uwezo wake wa kukusaidia kujua upande wa pili wa mwenzako kama ni kweli. Kwasasa huna haja ya kuwa na hofu bali jikaze na utafute ukweli kwa ajili ya manufaa yako na watoto wako. Ukipata ukweli unatakiwa urejeshe ndipo tukushauri tena utaliendeaje jambo hili kwa manufaa ya watoto wako na wanaokuzunguka. Tunaamini kwake Yehova yote yanawezekana na Ondoa hofu na wasiwasi sasa.
 
Amina mtumishi
Asante Kwa mchango wako
 
Back
Top Bottom