Nimegundua mchumba wangu ni shoga, nifanyaje?

Poleni sana wote, huyo atakuwa tayari kasha olewa toka trh 8. Ningempa bonge la ushauri,
 
Harusi ilifanyika?
 
Sasa ushauri GANI wakati umeshathibitisha biga chini uje kwangu Sasa,Kama unamtaka endelea kuchombeza naye.
 
This is nothing new mbona, wanaume wengi wa Pwani wanaishi maisha haya. Nyumbani anaonekana rijali, akitoka tu kwenda mtaa wa pili mumeo huyo huyo anapakatwa na mwenzake huku akiminywa pumbu akichekelea.
 
amshogoe, atapona tu
 
Undecided
 
πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ Nipe location nikatembelee bwashee
Chunguza tu mumeo au boy friend wako sehemu apendazo kutembea jioni baada ya kazi, lazima utamkamata tu kama ni mkazi wa Dar, Tanga, Zanzibar, Mombassa.
 
Mamaa wa CHAI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…