Nimegundua mchumba wangu ni shoga, nifanyaje?

Na hiyo tabia kuacha sio rahisi, mwambie akaombewe kwa Mwaposa ili aache. Wadau mimi lugha inanipiga chenga hivi! Anaepigwa anaitwa shoga, anaepiga kwa ufasaha tumuiteje!

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Nimejaribu kupitoa post zake za nyuma, nimeona upo sahihi kabisa huyu kutunga kawaida
ukaoata nini ylipopita?
nikupe na link ya website yangu uone navyingiza hela kwa stori za kutunga unazosema?
 
TUONYESHE PICHA ILI TUSHAURI
 
Kama alikuwa anakupiga nao,utamu ulikukolea mpaka kutaka muoane,basi huyo si shoga

Wazungu wanamwita mwanamume kama huyo Bisexual..

Yaani huyo ni binadamu anaepata hisia za kimapenzi kwa jinsia zote

Kwa upande wangu hao ni watu wanaofaidi starehe ya sex

Ushauri wangu bakia nae muoane mle raha za sex,..

Threesome,mnainjoi mwanamme mmojaa wewe na mumeo nk

Life is too short,enjoy the life
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…